hahahahaa nakumbuka ile thread yako ya catch me if u can boy.....looh sikuweziPoleee ndo umepotea kabisaaa wala aah sio huko.
Huku ni kuchukua kuweka kisha unasikilizia waah. .. waah...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaa nakumbuka ile thread yako ya catch me if u can boy.....looh sikuweziPoleee ndo umepotea kabisaaa wala aah sio huko.
Huku ni kuchukua kuweka kisha unasikilizia waah. .. waah...
Saanaa.nimechukua nimeweka waaaaaah[emoji23]Umefuraaahii mwenyewe hehehehee
hahahha na imani na kadensi kadogo kalifuataWaaaah. ......mwendo mdundooo. ..!!
hhahahha nilikuwa nimetegesha camera yangu....so kauhondo hakakunipitaHahahahaaaa ulijuajeee? ? Utasema ulikuwepo. ....piga densi kidogoo piga densi kidogoo. ...
Kasie.
huhuhuhu hiyo imenihamasisha siku nyingine nitabook seat mapeemaaa...nisipitiwie tena...waaaahHahahaaa poleee kwahiyo ulikula ugali kwa picha ya samaki? Looh itakuwa ulipata uhondo ila hukunogewa.
kwenye soda ya kopo?Weka kwenye chunguuu eeh hadi usikie waaaah