Halafu Nifah wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Thread kama hizi ni za kuondolea stress.
Chukua tu utasikia[emoji15][emoji15][emoji15] katika siku niliyoachwa chalinze ni leo
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Halafu Nifah wewe
Chungu kikubwa au kidogo?Huwezi kusikia chochote tumia chungu huchukui dakika ni waaah...... waaah......waaah.......
Chukua tu utasikia
Wekaaaaa
Utasikia waaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo patam waaah
basi nitaweka nilipotokea mwaaah! [emoji15]Wee mie kilugha chenu sikujui ila kwa kiswahili ji kwenye chunguuuuu au kwa kizungu in the pot looh.
Usiku mema.