Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kaka Braza unatuhamisha kwenye ishu ya Coaster mbili za Simba..!!! Hivi uwanja wa Bunju anasepa nao?? Maana unaitwa ng'ombe arena sasa sijui ni wake au jina tu..!!Sasa wananchi mkataeni huyo mbuzi. Mbuzi kwake ni zizini. Sio Jangwani...