Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Nahizi ndio shuguli zaohawaji hao mufulis kwasabab mtuhumiwa ni wa kaskazin hata kama ni gamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahizi ndio shuguli zaohawaji hao mufulis kwasabab mtuhumiwa ni wa kaskazin hata kama ni gamba
Huo ni mtaji huko kwaoHapo pongezi zitamiminika chini chini kutoka kwa wenzake, maana kwao kawaida. Sitashangaa akiendelea kula bata mtaani wakati yule kijana mwenye maono ananyimwa japo dhamana ilhali ni haki yake kikatiba.
Aisee ccm wanafanya mambo ya ajabu ajabu ssnaOndoeni uchafu huu huku jf jamani mnatutoa nje ya ulingo. Tuleteeni ya Mwijage na Dangote jinsi wanavyo bakana si watu hovyo ka hawa wa kimunisi munisi, ati kambaka kijana 16 huyo mzee umri huo kama kaanzwa akiwa 10 leo hata marinda si yalishaisha?? Leteni habari kuu
Teh teh teh teh tehndio tabia za watu wa chama cha kijani yani wao wanaamini matumizi ya nguvu hadi kwenye mapenzi!
kwenda zako wewe. mwenyekiti wa shina akibaka ndio chama.ndio tabia za watu wa chama cha kijani yani wao wanaamini matumizi ya nguvu hadi kwenye mapenzi!
Wana CCM hadi mapenzi mnamtumia nguvu..!!
Ukoo wa panya.
We utakuwa unaliwa TIGO, MAAMAYO..!!Unashangaa nini wewe nawe! Wapo mpaka viongozi ndani ya uvccm wanaenda Mombasa kila baada ya miezi miwili kwa mapumziko
Aisee ccm wanafanya mambo ya ajabu ajabu ssna
Kwani ccm wanatafauti ganiMharibifu huyo sio ccm
Ccm wanaweka ilani kama changa la macho tu lakini wao nikuiga tu kila kituMkuu;
Sikatai kwani hawa wanayafanya hayo ati kwa kuwa wametumwa na sangoma wajipatie mali za haraka haraka. Pia huyafanya hayo ili kuupata ukuu. Twayajua hayo ila hatutaki kujikuta tumeondolewa kwenye mada kubwa kubwa.
Angalia walivyolipotezea swala la Dangote na cement kupanda, angalia wanavyokwepa mambo ya ajira mpya, angalia wanavyo potezea hali mbaya ya uchumi. UKAWA waliahidi Elimu buuuure hadi chuo kikuu, Nyumba bora kwa kila mtz na mengine mengi. Sasa kwa kukosa ujasiri kidogo wa kuweka wataalam wa mambo hayo wanaiga wasocho lijua. Yote haya kwa sababu tu wanatawala kwa juju na juju huhitaji makitu hayo wanayo fanya.
Tatizo ni nani atamfunga paka kengeleMkuu;

Unashangaa nini wewe nawe! Wapo mpaka viongozi ndani ya uvccm wanaenda Mombasa kila baada ya miezi miwili kwa mapumziko
Mbaya zaidi utashanga huyo mbakaji yupo njeChakaza inavyoonekana wewe NI miongoni wa hao.Maana wachawi wanajuana Kwa mapepo
Ccm wanaweka ilani kama changa la macho tu lakini wao nikuiga tu kila kitu
Msafi huko ni naniHumu duniani kuiga NI kitu cha kawaida tu.
Magari yalikuwa model T Leo aina ngapi?
Simu lilikuwa kubwaaa Na la nyumbani Leo tuna za mkono Iphone Na masamsung Na vitochi
CCM ilikuwa TANU ilikuwa TAA
Chadema ilikuwa Dr.Slaa Halafu Lowwasa
Kwa hiyo kuiga sio Tatizo.Je wana kiboresha?