Tetesi: Kada marufu na Kiongozi wa CCM Arusha kwenye Kashafa yakubaka

Hapo pongezi zitamiminika chini chini kutoka kwa wenzake, maana kwao kawaida. Sitashangaa akiendelea kula bata mtaani wakati yule kijana mwenye maono ananyimwa japo dhamana ilhali ni haki yake kikatiba.
Huo ni mtaji huko kwao
 
Aisee ccm wanafanya mambo ya ajabu ajabu ssna
 
Aisee ccm wanafanya mambo ya ajabu ajabu ssna

Mkuu;
Sikatai kwani hawa wanayafanya hayo ati kwa kuwa wametumwa na sangoma wajipatie mali za haraka haraka. Pia huyafanya hayo ili kuupata ukuu. Twayajua hayo ila hatutaki kujikuta tumeondolewa kwenye mada kubwa kubwa.
Angalia walivyolipotezea swala la Dangote na cement kupanda, angalia wanavyokwepa mambo ya ajira mpya, angalia wanavyo potezea hali mbaya ya uchumi. UKAWA waliahidi Elimu buuuure hadi chuo kikuu, Nyumba bora kwa kila mtz na mengine mengi. Sasa kwa kukosa ujasiri kidogo wa kuweka wataalam wa mambo hayo wanaiga wasocho lijua. Yote haya kwa sababu tu wanatawala kwa juju na juju huhitaji makitu hayo wanayo fanya.
 
Ccm wanaweka ilani kama changa la macho tu lakini wao nikuiga tu kila kitu
 
Tatizo ni nani atamfunga paka kengele
 
Unashangaa nini wewe nawe! Wapo mpaka viongozi ndani ya uvccm wanaenda Mombasa kila baada ya miezi miwili kwa mapumziko

Chakaza inavyoonekana wewe NI miongoni wa hao.Maana wachawi wanajuana Kwa mapepo
 
Ccm wanaweka ilani kama changa la macho tu lakini wao nikuiga tu kila kitu

Humu duniani kuiga NI kitu cha kawaida tu.
Magari yalikuwa model T Leo aina ngapi?
Simu lilikuwa kubwaaa Na la nyumbani Leo tuna za mkono Iphone Na masamsung Na vitochi
CCM ilikuwa TANU ilikuwa TAA
Chadema ilikuwa Dr.Slaa Halafu Lowwasa
Kwa hiyo kuiga sio Tatizo.Je wana kiboresha?
 
Msafi huko ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…