Kada ni Mzalendo

Kada ni Mzalendo

Brown10

New Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Kada- huyu ni mtu ambaye amekisoma vyema chama na kanuni zake bila kupepesa macho na kujiapiza ndani ya moyo wake kukitumikia chama Hiko bila kuogopa kitu chochote hata kifo.

Hivyo kuwa "KADA" sio jambo la lelemama wala jambo la mchezo mchezo ni kuwa mwanajeshi Tena mtiifu na MZALENDO.

Usiwe kuwa na mawaa katika kulitumikia jeshi lako na nchi kwa UJUMLA.

KADA ni zaid ya MZALENDO.
 
Kwani ukilewa ni lazima uanzishe uzi?
 
Back
Top Bottom