Kada uvccm afumaniwa live iringa

Kada uvccm afumaniwa live iringa

bi mkora

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
259
Reaction score
113
KADA WA UVCCM IRINGA ALIVYOFUMANIWA AKISALITI NDOA YAKE

Ni vigumu kuamini ila inapotokea huwa ni vigumu kuvumilia.
"Je ndo chama au ni kichaka cha umalaya" na kauli ya mume wa kada huyu pichani baada ya kufumania ubavu wake ukisaliti ahadi ya ndoa.
Ilikuwa ni majira ya saa 12 jioni eneo la kanisa la RC-Mkimbizi Mtaa B. Kada wa CCM maarufu ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM na amepata kuwania nafasi ya juu ya mjengoni na kushindwa ( jina kapuni kwa sasa) amekutwa live akivunja amri sita na mwanasheria mmoja wa Halmashauri za wilaya moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Iringa kwa mtego uliowekwa na mume wa mwanamke huyo na wazee wa usalama wa raia na mali zao a.k.a polisi kufika eneo la tukio.
Huku mume wake pamoja na wananchi wa eneo hilo Nyumbani kwa jemba hilo lipenda vya watu ambalo limekubuhu kwqa masuala ya sheria na kuaminiwa na moja kati ya Halmashauri za wilaya na kuwakuta wakiendelea kupeana kitu cha penzi ama uroda huku mume akidai kuwa mwanadada huyo alikuwa amefunga ndoa juu ya ndo kwani alikuwa na tabia hiyo kila siku na sio jana tu ilikuwa ni ndoa iliyokomaa. "Mimi binafsi namjua sana mume wake ni mtu mpole sana muelewa lengo lake alijua kuwa kwenda kwenye chama inawezekana ndio taranta yake, ndani ya chama cha ccm-Iringa kumbe ni dhana ya umalaya. "alisema mmoja kati ya mashuhudaAliweza kudanganya mume wake kuwa yuko Dar kuudhulia Mkutano wa watenda kazi wa ccm uliofanyika Dodoma mwanadada huyu alidai mnamo Tarehe 17/01/2012 alikuwa akiondoka kutoka Dodoma akielekea Dar es slaamu apewe barua ya ajila ndani ya uvccm kitengo maarumu cha vijana wa chuo kikuu. Je mtendakazi kama hayu kweli anakwenda kufanya kazi au ni umalaya sio tukio hilo tu bali kuna matukio megine ambayo tunayajua ya nyuma mengi tu.alisema mume wa mrembo huyo
Aliposema yuko Dodoma anakwenda Dar mume weka alifuatilia miondoko akakuta hajaenda Dar es Salaam na badala yake yuko. Iringa ndipo mnamo saa 12 walijivinjali na mwanasheria huyo na kumkua chumbani na kanga moja amelala wananchi walipovamia na kumtia nguvuni Mwanaume akasema ngoja nikawaonyeshe wakati wengine wakiangalia chumbani ndipo kumuta mwana dada akivaa nguo zake ikiwa ni siku ya pili toka atoke Dodoma bila kufika nyumbani. "Jiulize hana upendo na watoto wala mumewe na nyumba yake kwa ujumla wake, na hatimae leo kaondoka baada yakuachiwa na jopo la watu, alichukuliwa na ndugu na jamaa akalala uko leo kaondoka leo asubuhi na upendo bus service ya saa moja akielekea makao makuu ya CCM-Dar kitendo cha uvccm apewe barua yake ya ajira…… Lilikuwa jambo la kushangaza sana kwa jinsi ninavyomjali na kupanafasi afanye ili aonyeshe uwezo wake kama mwanamke lakini hatimaye ni umalaya.Je chama kiko tayari kuendelea na watu wa aina hiyo"alihoji bwana huyo.Usikose kupata picha na uthibitisho zaidi wa uhalali wa ndoa hii na uamuzi uliofikiwa kama ndo itaendelea ama itakufa subiri tafadhali katika uwanja huu huu.
 
Source? Kiswahili kibovu.Hakuna mtiririko mzuri wa story.Hakuna paragraph,no quotation marks.Yaani ovyooo inaboa kuisoma kwa kweli...ptuuu
 
Haina maana, huyu jamaa atakuwa anaonewa mwanamke kamfata nyumbani sasa kosa lake nini? huyo mwanaume alikimbiwa na mwanamke ajiulize ni kwa nini mwanamke kaenda nyumbani kwa mtu kumpa mzigo? Sheria zetu ni mbovu ni kama kumfanya mwanamke ni mali ya mwanaume
 
jaman kama ni kweli basi ni aibu kubwa sana....!wanaume wakiwa wapole tunawafanya mabwege, wakitimiza uanaume wao tunalalamika eti tunaonewa.....sasa letu jema ni lipi, tukipewa uhuru hatujiheshimu......pole kaka, mwana FA alisema ukimegewa wako nawe tafuta mnyonge ummegee wake
 
Ni malaya wote hawa nakwambia najua mimi anaetaka proof aniPM.
 
Kwani hiyo Zipu huwa inafungwa ukiwa mwanasiasa? Siasa ni siasa na matamanio ya nafsi ni matamanio ya nafsi!


Kinachonishangaza ni hilo li dume kuwa linajuwa kuwa haliwezi kazi na husaidiwa kila siku, basi si lingeamuwa tu badala ya kkujiaibisha? Sijui wanaume wenzangu mtavumilia huku mkijuwa kuwa mnachapiwa kila siku? Ipo namna kwa mahusiano ya watu haw, tusikimbilie kumlaumu mwanamke tu huku hatujuwi ukweli halisi.
 
Kada wa smal Sisiem,Kada wa Uvccm,Kada wa Origional CCM...naye ni bin adam...ana mahitaji yake nje ya chama,thus all
 
Uhuni hauna chama wala cheo...amelaaniwa aziniye na mwanamke, awe kada,CCM,CDM,CUF,lawyer,mpole,mkali etc

Maadili ya viongozi wetu na namna wanavyoenenda kwenye maisha binafsi itupe picha ya kwanini hatusongi mbele kama taifa!

Ni watu wachache sana wanashindwa kujiheshimu kwenye maisha binafsi(Clinton) wanamudu kutekeleza wajibu wao vizuri.
 
Back
Top Bottom