Elections 2010 KADA wa CCM atoboa siri CCM mambo magumu

Asanteni sana ndugu zangu wa Tanzania naamini sasa tumepevuka kifikra na wakati umefika, mimi niliandika kitabu na kukiita je tumwambie Rais? na baada ya kumpa Reginald mengi ili akitoe matokeo yake akampelekea kikwete kisha wakaanza kuniwinda mpaka nikakimbia nchini. hawana jipya CCM, na mungu marazote hamfichi mnafiki muda wao umekwisha na wakatai wa mapinduzi ndio huu na pia lazima tuamni ya kwamba nguvu ya watawaliwa ni kubwa zaidi ya watawala na pia nchi zote waliofanikisha mapinduzi huwa ni watu wachini ambao ni wakulima wafanya kazi na vibarua. tusipoangalia hawa watu wataiuza nchi yetu kwa wageni. wezi wa kura hao Mungu ata wahukumu hapahapa duniani.
 
Hiyo itakuwa nikweli wala sihitaji uthibitisho kwa sababu hata ccm wenyewe wanajua. Mimi nimesafiri sana mikoani hasa kipindi hiki cha kampeni hata huko vijijini wanaongelea chadema itashinda mwaka huu. Hasa vijana ndio zaidi, ukichukulia zaidi ya 50% ni vijana waliojiandikisha kupiga kura tena waliokulia kwenye mfumo wa vyama vingi. ccm wanatapatapa tu, hadi JK anathubutu kusema wanaotaka kumwanga damu....sijui kasikia wapi.Hali ya ccm ni mbaya sana... kazi kudanganya watu masikini walalahoi nao wanatesa na V8.
 

Wameshashindwa!!! Sijawahi kumsikia Dr. Slaa akiongelea kumwaga damu!!! Pia kila ninayejaribu kumuulizia kama ana ushahidi na statement hiyo anasema hata yeye anawashangaa hawa CCM.. In short wanaboa.. Ila watz wameshashtukia mbinu zao chafu.. Halafu sipendi anavyoongea huyo kampeni manager wao sijui Kanono/kinani atajijua mwenyewe, anaongea kwa dharau na nina wasiwasi na elimu yake nahisi kaishia STD 7
 
Mimi sichekelei anguko la ccm bali hilo tifu lake wakishindwa uchaguzi.
nasisitiza hawapati kura yangu hata waichakachue. nimeiombea ulinzi wa Yesu. hakuna kulala safari hii
 
hamna damu kumwagika wala nini labda damu ya kuku wa sherehe tu kwa ajili ya kuapishwa kwa daktari slaa.
 

Ushindi bado uko kwa CCM
 
Mimi sichekelei anguko la ccm bali hilo tifu lake wakishindwa uchaguzi.
nasisitiza hawapati kura yangu hata waichakachue. nimeiombea ulinzi wa Yesu. hakuna kulala safari hii

Anguko la CCM ni ndoto za mchana ni chama chenye mizizi hadi vijijini.
 
Nyerere alishasema, kuwa dogo bado hajafikia umri wa kupewa dola, watz hatukuamini tukampa 2005. Tumeona alivyofanya ndo maana hali yake sasa ni mbaya. Hii ina-prove usemi wa baba wa taifa. Hakumaanisha udogo wa umri, up-stairs haijakaa vema. Rais wetu sasa ni dr. Wa ukweli slaaaaaaaa

viva dr. Slllllaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Anguko la CCM ni ndoto za mchana ni chama chenye mizizi hadi vijijini.

Ndugu yangu, hata huko vijijini wananchi wameamka, na hawaitaki CCM. Jana nilikuwa naongea na ndugu yangu aliyeko kijijini, tena ni kiongozi wa CCM akanambia huku tumeshafanya uamuzi; hatutachagua chama bali mtu, na mtu huyo ni Dk Slaa. Kwa hiyo msijidanganye! Hii teknolojia ya mawasiliano ya simu imesaidia sana kuwatoa usingizini watanzania wengi waliokuwa wamelala fofoffo.
 
Hata Usalama wa taifa nao wametoboa siri ya kuiba kura.

Nilihalibu kuleta breaking news lakini naona Administrator kaichomoa, Habari kamili iko kwenye face book ya Jakaya Kikwete 2010

Login | Facebook

Administrator hiyo habari imeshavujishwa na makachero, iweke wana JF waione.
 


Wanazo kura za ushindi za REDET na nani yule mdogo wake sijui. NI kweli CCM wana hali ngumu mitaani. Waraka wa piga ua lazima ccm ishinde ndio sera ya umwagaji damu ya ccm ambayo Kinana hawezi kuisema wazi. Angalia hata akiongea anatetemeka kwa sababu nadhiri inamsuta kwamba anatenda dhambi kubwa sana kwa watanzania. Mungu atawarudi tu. Wamtumie vizuri Yahaya aongeze maruhani kura zifike 72%
 

Aliyekudanganya nani? Labda kijiji chako tu. Vijijini wanataka mabadiliko. Sisiemu vijijini inatumia mabavu. Ipo si kwa sababu inapendwa bali kwa sababu inatumia nguvu na vitisho. Watu vijijini si wajinga hata kidogo!
 
Anguko la CCM ni ndoto za mchana ni chama chenye mizizi hadi vijijini.

Mizizi ya vitisho! Mimi niko kijijini na najua sisiemu inachofanya. Najua pia kuwa wanakijiji wenzangu hawaipendi sisiemu. sisiemu inatumia ubabe sio kupendwa.
 
Endelea kujidanganya kwa vijijini kama mtaji wenu. Utashangaaa siku hiyo. Tumelifanyia utafiti ni uongo tu.
Labda kwa wamasai wanaodhani Lowasa ndiye Mungu. Kwingine sisi m mmepigika tayari.
 
Ni wengi makada wa CCM wanaokiri hivyo kuwa hali ya CCM ni mbaya.

Mimi wote ninaowafahamu makada hata waliomo usalama wa taifa wanaunga mkono CHADEMA na wanasema wazi kuwa ushindi mwaka huu utaenda upinzani... CHADEMA
 
Ajabu ni kuwa jana Kinana akitoa taarifa ya CC ya CCM alizungumzia juu ya vyama vya upinzani kutishia kumwaga damu; Kikwete naye katika kampeni za jana alizungumzia hayuko tayari kuona damu inamwagika. Sasa linganisha ni hiyo sms inayosambazwa kuwa Slaa asichaguliwe anataka kumwaga damu nado utagundua kuwa kuna Mchongo umechongwa na CCM, wameanzisha muziki kupitia sms Kinana na Kikwet (Ki & Ki) wanaimba vibwagizo.
 
Mkuu huko vijijini ndio watu wameaamka kwa sasa hayo mawazo yako bado yazamini sana nenda ujionee watu wanavyoikataa ccm na wagombea wao.
 

ooh pole sana mkuu kwa yote, sisi tupo kuondoa ubadhilifu nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…