kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,217
ThomasoAsa ndo tujue meja wa jeshi alikuja kwako?uhakika tutaupataje kama alizungumza hayo uyasemayo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThomasoAsa ndo tujue meja wa jeshi alikuja kwako?uhakika tutaupataje kama alizungumza hayo uyasemayo??
Walianza na Chadema chama cha ukabila, wakashindwa, ooh Dr Slaa katumwa na kanisa Katoliki, wakashindwa, ooh ndoa yake, pia wakashindwa, sasa wanatishia kuwa amesema damu itamwagika, ambalo si la kweli lakini nalo pia watashindwa. Mungu akiwa upande wetu..........
Jana jioni nilibahatika kukutana na Rafiki yangu wa karibu ambaye ni kada wa siku nyingi wa CCM na pia ni askari jeshi mstaafu aliyepigana vita vya kagera akiwa Brigedi ya Mayunga a.k.a mti mkavu.
Alikuwepo nyumbani kwangu tulipata chakula cha usiku a.k.a supper, wakati tunaangalia luninga kusikiliza taarifa ya habari za kitaifa alimuona kada mwenzake Kinana akimwaga sera za UMWAGAJI DAMU.Rafiki yangu huyu alikasilika sana akasema" Hivi CCM ndiyo imeishiwa hivi? hii si CCM ninayoijua mimi, sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura, maana hata mitaani nimejaribu kupitia vijiweni nijaribu kuweka mada ya kutetea ccm napata watu 2 kati ya watu 10, yaanni rafiki yangu CCM hatuna asilimia 30 ya ushindi kama mambo yatakwenda sawa.Ila hatuko tayari kushindwa"
Rafiki yangu huyo anapinga sana kitendo cha kutumia mtaji wa kumwaga damu, anakumbuka walivyoteseka kuikomboa Kagera toka mikono ya Nduli Idd Amin Dada, anasema anawaonea huruma watanzania, ila anapinga kuwa "sijawahi kumsikia SLAA akiongelea kumwaga damu ila sisi inaonekana hoja za kuwashawishi waajiri wetu(wapiga kura ) hatuna dalili ya kuanguka iko wazi sijui wenzangu CCM kama wameiona"
Hayo ndiyo tuliyoongea na huyo rafiki yangu kada wa CCM,
Fundisho:
Kutokana na mazungumzo yetu nilichojifunza ni kwamba, chadema wanayo nafasi ya kuchukua dola wantakiwa waweke mikakati ya kulinda kura hasa tukizingatia statement ya colleague wangu ya kwamba"sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura,"
Mimi sichekelei anguko la ccm bali hilo tifu lake wakishindwa uchaguzi.
nasisitiza hawapati kura yangu hata waichakachue. nimeiombea ulinzi wa Yesu. hakuna kulala safari hii
Anguko la CCM ni ndoto za mchana ni chama chenye mizizi hadi vijijini.
Jana jioni nilibahatika kukutana na Rafiki yangu wa karibu ambaye ni kada wa siku nyingi wa CCM na pia ni askari jeshi mstaafu aliyepigana vita vya kagera akiwa Brigedi ya Mayunga a.k.a mti mkavu.
Alikuwepo nyumbani kwangu tulipata chakula cha usiku a.k.a supper, wakati tunaangalia luninga kusikiliza taarifa ya habari za kitaifa alimuona kada mwenzake Kinana akimwaga sera za UMWAGAJI DAMU.Rafiki yangu huyu alikasilika sana akasema" Hivi CCM ndiyo imeishiwa hivi? hii si CCM ninayoijua mimi, sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura, maana hata mitaani nimejaribu kupitia vijiweni nijaribu kuweka mada ya kutetea ccm napata watu 2 kati ya watu 10, yaanni rafiki yangu CCM hatuna asilimia 30 ya ushindi kama mambo yatakwenda sawa.Ila hatuko tayari kushindwa"
Rafiki yangu huyo anapinga sana kitendo cha kutumia mtaji wa kumwaga damu, anakumbuka walivyoteseka kuikomboa Kagera toka mikono ya Nduli Idd Amin Dada, anasema anawaonea huruma watanzania, ila anapinga kuwa "sijawahi kumsikia SLAA akiongelea kumwaga damu ila sisi inaonekana hoja za kuwashawishi waajiri wetu(wapiga kura ) hatuna dalili ya kuanguka iko wazi sijui wenzangu CCM kama wameiona"
Hayo ndiyo tuliyoongea na huyo rafiki yangu kada wa CCM,
Fundisho:
Kutokana na mazungumzo yetu nilichojifunza ni kwamba, chadema wanayo nafasi ya kuchukua dola wantakiwa waweke mikakati ya kulinda kura hasa tukizingatia statement ya colleague wangu ya kwamba"sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura,"
Pamoja na hayo mimi huwa sipendi kuchukulia observation au maoni ya mtu mmoja kama ndio hali halisi. Ni kweli mwaka huu CCM haikutegemea mambo yawe magumu lakini ili la kushindwa na Chadema bado silikubali moja kwa moja hata kama napenda upinzani hasa Chadema washinde. Huko vijijini tukubali tusikubali CCM bado ina nguvu sana kutokana na kuwa na mtandao wa utawala, umasikini mkubwa na elimu duni ya urahia. Tusisahau kama bado watu hapa mjini wanauza shahada za kupiga kura kwa elfu tano sembuse vijijini wakipewa khanga na kofia!! Maoni ya mwanajeshi tena mstaafu kwa mawazo yangu yanabaki kuwa mawazo tu.
Anguko la CCM ni ndoto za mchana ni chama chenye mizizi hadi vijijini.
Endelea kujidanganya kwa vijijini kama mtaji wenu. Utashangaaa siku hiyo. Tumelifanyia utafiti ni uongo tu.Pamoja na hayo mimi huwa sipendi kuchukulia observation au maoni ya mtu mmoja kama ndio hali halisi. Ni kweli mwaka huu CCM haikutegemea mambo yawe magumu lakini ili la kushindwa na Chadema bado silikubali moja kwa moja hata kama napenda upinzani hasa Chadema washinde. Huko vijijini tukubali tusikubali CCM bado ina nguvu sana kutokana na kuwa na mtandao wa utawala, umasikini mkubwa na elimu duni ya urahia. Tusisahau kama bado watu hapa mjini wanauza shahada za kupiga kura kwa elfu tano sembuse vijijini wakipewa khanga na kofia!! Maoni ya mwanajeshi tena mstaafu kwa mawazo yangu yanabaki kuwa mawazo tu.
Anguko la CCM ni ndoto za mchana ni chama chenye mizizi hadi vijijini.
Ni wengi makada wa CCM wanaokiri hivyo kuwa hali ya CCM ni mbaya.
Mkuu huko vijijini ndio watu wameaamka kwa sasa hayo mawazo yako bado yazamini sana nenda ujionee watu wanavyoikataa ccm na wagombea wao.Pamoja na hayo mimi huwa sipendi kuchukulia observation au maoni ya mtu mmoja kama ndio hali halisi. Ni kweli mwaka huu CCM haikutegemea mambo yawe magumu lakini ili la kushindwa na Chadema bado silikubali moja kwa moja hata kama napenda upinzani hasa Chadema washinde. Huko vijijini tukubali tusikubali CCM bado ina nguvu sana kutokana na kuwa na mtandao wa utawala, umasikini mkubwa na elimu duni ya urahia. Tusisahau kama bado watu hapa mjini wanauza shahada za kupiga kura kwa elfu tano sembuse vijijini wakipewa khanga na kofia!! Maoni ya mwanajeshi tena mstaafu kwa mawazo yangu yanabaki kuwa mawazo tu.
Asanteni sana ndugu zangu wa Tanzania naamini sasa tumepevuka kifikra na wakati umefika, mimi niliandika kitabu na kukiita je tumwambie Rais? na baada ya kumpa Reginald mengi ili akitoe matokeo yake akampelekea kikwete kisha wakaanza kuniwinda mpaka nikakimbia nchini. hawana jipya CCM, na mungu marazote hamfichi mnafiki muda wao umekwisha na wakatai wa mapinduzi ndio huu na pia lazima tuamni ya kwamba nguvu ya watawaliwa ni kubwa zaidi ya watawala na pia nchi zote waliofanikisha mapinduzi huwa ni watu wachini ambao ni wakulima wafanya kazi na vibarua. tusipoangalia hawa watu wataiuza nchi yetu kwa wageni. wezi wa kura hao Mungu ata wahukumu hapahapa duniani.