Elections 2010 KADA wa CCM atoboa siri CCM mambo magumu

Elections 2010 KADA wa CCM atoboa siri CCM mambo magumu

wakati tunaangalia luninga kusikiliza taarifa ya habari za kitaifa alimuona kada mwenzake Kinana akimwaga sera za UMWAGAJI DAMU.Rafiki yangu huyu alikasilika sana akasema" Hivi CCM ndiyo imeishiwa hivi? hii si CCM ninayoijua mimi, sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura, maana hata mitaani nimejaribu kupitia vijiweni nijaribu kuweka mada ya kutetea ccm napata watu 2 kati ya watu 10, yaanni rafiki yangu CCM hatuna asilimia 30 ya ushindi kama mambo yatakwenda sawa.Ila hatuko tayari kushindwa"

Hii ni dalili njema ya ushindi
 
....alikuwa mwanajeshi sio kada. na kama ndivyo CCM wako wangapi nchi hii-3million only. Watanzania tuko 42million. Hawatubabaishi kabisa hata kama wangekuwa na mtandao mpaka ******. HATUDANGANYIKI NG'O. KIKWETE HAUZIKI KIPINDI HIKI. HATA AFANYEJE!! WAMECHEZEA KATIBA, WAKALINDA WEZI. HAWANA JIPYA. TUNA KIDUME KIPYA - CHADEMA.
 
:A S 13::hand:MWISHO WA UBAYA NI AIBU. WAENDELEE KUWAHONGA WATAFITI LABDA WATZ WATADANGANYIKA.
 
Jana jioni nilibahatika kukutana na Rafiki yangu wa karibu ambaye ni kada wa siku nyingi wa CCM na pia ni askari jeshi mstaafu aliyepigana vita vya kagera akiwa Brigedi ya Mayunga a.k.a mti mkavu.
Alikuwepo nyumbani kwangu tulipata chakula cha usiku a.k.a supper, wakati tunaangalia luninga kusikiliza taarifa ya habari za kitaifa alimuona kada mwenzake Kinana akimwaga sera za UMWAGAJI DAMU.Rafiki yangu huyu alikasilika sana akasema" Hivi CCM ndiyo imeishiwa hivi? hii si CCM ninayoijua mimi, sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura, maana hata mitaani nimejaribu kupitia vijiweni nijaribu kuweka mada ya kutetea ccm napata watu 2 kati ya watu 10, yaanni rafiki yangu CCM hatuna asilimia 30 ya ushindi kama mambo yatakwenda sawa.Ila hatuko tayari kushindwa"
Rafiki yangu huyo anapinga sana kitendo cha kutumia mtaji wa kumwaga damu, anakumbuka walivyoteseka kuikomboa Kagera toka mikono ya Nduli Idd Amin Dada, anasema anawaonea huruma watanzania, ila anapinga kuwa "sijawahi kumsikia SLAA akiongelea kumwaga damu ila sisi inaonekana hoja za kuwashawishi waajiri wetu(wapiga kura ) hatuna dalili ya kuanguka iko wazi sijui wenzangu CCM kama wameiona"

Hayo ndiyo tuliyoongea na huyo rafiki yangu kada wa CCM,

Fundisho:
Kutokana na mazungumzo yetu nilichojifunza ni kwamba, chadema wanayo nafasi ya kuchukua dola wantakiwa waweke mikakati ya kulinda kura hasa tukizingatia statement ya colleague wangu ya kwamba"sasa naanza kuamini kuwa mwaka huu hatushindi, labda tuibe sana kura,"
Ndugu yangu usisahau sentensi ya pili ya huyo nduguyo " ila hatuko tayari kushindwa"- a strong smart strategy is needed to address this by the opposition!!!!
 
Kada hawezi kuongea maneno hayo.. Keshanunuliwa na chadema, au ameahidiwa kuingia bilcanas bure
 
Kwa sasa JK ametoa ahadi hata zingine hakumbuki tena!! Ameishiwa msikini, hajua afanye nini, mara Dubai ya Africa, Amsterdam ya Africa ,ma-california ya africa, mauwanja ya ndege, sijui nini, sjui nini, bado ahajasoma alama za nyakati kuwa ahadi sasa watu wamejua ni mchezo wa kuigiza!!!

Kazi ni moja tu, 31/10/2010, dawa ni moja tu VOTE CCM OUT KWA KUCHAGUA CHADEMA!!!
Ni vizuri tunaotaka mabadiriko tukaacha kutoa visingizio,vijijini ndiko walikotoa wabunge wa upinzani na madiwani mijini wanaganga njaa elimu izidishwa kwa watu wa mijini kwamba uchaguzi ni pamoja na madiwani wabunge na Raisi tuamini kipindi za mabadiliko ni sasa
 
Hii propaganda ya sisi m kuwa damu itamwagika na sms zao pamoja na ushindi ni lazima,vilevile na kuliunga mkono tamuko walilotoa kupitia Shimbo wa Jwtz haihitaji mtu kuwa philosopher kujua kinachoendelea.NEC kwa sis m ni mbwa kwa chatu.ILA TUSIVUNJIKE MOYO NINAAMINI TULIO NJE YA sis m NDO TUTAIKOMBOA NCHI HII. Umoja ni Nguvu ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom