GE2025 Kada wa CCM Hassani Yasini amechukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam

GE2025 Kada wa CCM Hassani Yasini amechukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hassani Yasini, ambaye pia ni Katibu wa Uchumi, Mipango na Fedha wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ili kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kawe katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Yasini amesema dhamira yake ni kulitumikia jimbo hilo kwa bidii, maarifa na uadilifu, ikiwa atateuliwa na hatimaye kuaminiwa na wananchi wa Kawe

Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


 
Back
Top Bottom