LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni.

Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia mikutano hiyo basi wachague kufa au kuumia

====================================================

Your browser is not able to display this video.
 
Bora tubaki na chama kimoja tu kisha tumruhusu mkoloni mweupe aje kututawala.
 
Mbona simuelewi elewi huyu

Ova
 

Wote ni kambale aka panya ni panya
 
Mvamizi huja kwa shari nadhani atajibiwa kwa shari. Huenda alimaanisha hivyo.
Lakini kwa ukavamie kwa mwenzako wakati nawe una ratiba zako?
Mambo mengine ni kujitakia tu
 
Hizi roho wanazo kweli.

R.I.P
Ali Kibao
 
Hapo huoni polisi wakionya, polisi ni tatizo kubwa nchi hii kwenye democracy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…