Kada wa CCM: Mkutano Mkuu wa CCM hauna mamlaka ya kuvunja kanuni zake

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Habari ndio hio!


View: https://youtu.be/50jLdDcptGc
Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa.

Kaongea mengi sana huyu bwana ikiwemo kutafuta wadhamini bara na visiwani jambo ambalo halikufanyika.

Mimi mwenyewe sio mwanasheria ila najiuliza, hata kama Mkutano Mkuu ndio kikao cha juu cha kufanya maamuzi; je, hakikupaswa kwanza kutengua kanuni ndio waendelee na azimio la kumptisha Samia?

Maswali ni mengi sana!!


View: https://youtu.be/9Vdp5kcgCt4
 
Walishangllia kama ........ kumbe wanashangilia kuvunja kanuni zao.

Bora wale wa Serengeti.
 
Yupo Ngosha mmoja alishatoa tamko mapema mwaka jana sijui aliishia wapi
 
Haters mnahangaikaaa. Pambaneni na kivuli Cha mbowe kwanza, Huko kwa Samia ni kukubwa mno kwenu......hamtoweza kuelewa chochote Wala midua yenu mibaya haitotamalaki.
 
Haters mnahangaikaaa. Pambaneni na kivuli Cha mbowe kwanza, Huko kwa Samia ni kukubwa mno kwenu......hamtoweza kuelewa chochote Wala midua yenu mibaya haitotamalaki.
Hizo kanuni si ni za kwenu?
 
Kutafuta wadhsmini ni takwa la katiba ya ccm au sheria ya uchaguzi? Kama ni sheria ya uchaguzi atawatafuta wakati NEC ikitoa ratiba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…