Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Hatujaona ushujaa kama ule,askari mmoja kapigwa teke, mwingine kapigwa ngumi.
Lakini yule mtu alikuwa cornered. He was fighting his way out.
Lakini kama alivyosema Afande Muliro,ukumbi ulikuwa umeshajaa kwa hiyo wale wa kule nje uwepo wao ulikuwa ni kuleta fujo .
Mi bado ningependa kuona haya mambo yanapata quick resolution.
Lakini tunakwenda mbali sana na 4R wakati Uchaguzi ni underway, Uchaguzi umekwishaanza, lakini Lissu yuko jela, Mpina amewekewa pingamizi, ambalo this time inaonekana litakuwa final.
Sijui Mpina ataichukua Ile offer ya kurudi CCM?
Sisi huku tulitaka sana Mpina arudi CCM.
Ubunge amechelewa tayari, lakini Mpina angefaa kuwa Minister for Foreign Affairs katika Cabinet mpya.
Tunakwenda mbali sana na 4R. Resilience, Reconciliation ziko wapi?
Watu lazima wavumiliane,pia watu lazima waache ubinafsi,watambue haki ya wengine kuishi( vizuri).
Yule jamaa ni shujaa. Inapaswa aachuwe leo asubuhi.