Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Aiseee!!Ukiwa CCM unatumia matako kufikiria ?Hizo za hela za bure IPO siku zitaishaChama cha wajinga hiki, kariakoo ina uwanja wa wazi wa mikutano?
Aiseee!!Ukiwa CCM unatumia matako kufikiria ?Hizo za hela za bure IPO siku zitaishaChama cha wajinga hiki, kariakoo ina uwanja wa wazi wa mikutano?
kwani ni jinai kufanya mkutano kariakoo, mjinga we unafikiri kila chama kinamakarandinga ya kuwabeba watu kama sisiemuChama cha wajinga hiki, kariakoo ina uwanja wa wazi wa mikutano?
maza hoi katepeta wakati ndo kwanza mpira dakika ya 10 anatamani kuingiza subSamia ni muoga kuliko kunguru
wanaotaka vurugu ni policccm kazi yao ni kulinda mkutano,wakati viongozi wanahutubia waache kihoroWanataka vurugu tu hawana lolote
chadema akili hamna hivi kweli watu waache kazi zao kwenye eleo la biashara muwawekee mkutano kweli are serious? waache kufanya biashara wasililize upuuzi wenu ? polisi shikilia hapohapo wahuni hao wakatafute open space wadanyanayane hukoWakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo.
Kwa mujibu wa Hilda, sababu iliyotajwa ni kwamba kuna maelekezo kutoka juu ya kuzuia mkutano na ameongeza kuwa msimamo wa chama ni kwamba mkutano huo utafnyika.
lissu muhalifu anataka kukinukisha
alisema ni uhaini, hiyo ni kauli yake akatamka hadharani akasema atakinukisha na itakuwa uhaini, kwa kauli hiyo ni kiashiria cha jinaiKukinukisha ni kosa gani na kwa sheria gani ?
Kama atanukisha Chakula nyumbani kwake intuhusu nini sisi kwama nchi huru kama sio uonevu wa CCM.?
Mtu atakinukisha ili kinukie vizuri nyie mnawashwa washwa kama mbuzi mwenye Minyoo .
Kukamilisha tangu lini ikawa ni kosa katika nchi hizi.
Pelekeni muswada bungeni wa kuweka Kosa jipya la kukinukisha ili tujue vigezo vya kumtia mtu hatiani .
sasa kama hawaachi biashara zao c waendelee hata hivyo kila mtu na biashara yake anayetaka kusikiliza atasikiliza usiwapangie uhuru wao watanzania wanahaki ya kusanyikachadema akili hamna hivi kweli watu waache kazi zao kwenye eleo la biashara muwawekee mkutano kweli are serious? waache kufanya biashara wasililize upuuzi wenu ? polisi shikilia hapohapo wahuni hao wakatafute open space wadanyanayane huko
Mama yako na Kasimu wakiwa Kariakoo hutumia uwanja upi?Chama cha wajinga hiki, kariakoo ina uwanja wa wazi wa mikutano?