Mkuu umeniuliza swali gumu sana but itoshe kusema am proud to be an engineer.
Kiukweli Magufuli natimu yake wametudharau sana wahandinsi, nchi hii yaviwanda,Serikali iliyoanzisha viwanda kila mahala kwa kadri wana CCM wanavyodai, miradi ya ujenzi kila mahala unamchukua kijana aliejiandaa kuwa muhandisi unataka akafundishe shule, kwa nini hawasemi na madoctor waombe kufundisha shule, kiukweli Magufuli na timu yako mmetudharau sana wahandisi.
Uko sahihi kabisa. Hii siri vijana wengi hawaijui. Hata uwe umesomea urubani, serikali ikitangaza nafasi za kazi ya kufagia na wakataja sifa ulizonazo, basi omba. Ukiajiriwa tu baada ya muda mfupi omba kuhamia kwenye urubani.Acha utoto mdogo wangu, unawakatisha wenzio tamaa, Kikubwa ni kuingia kwenye ajira ya serikali. Jina likishaingia kwenye pay roll ni rahisi Sana kubadilishwa kitengo. Ikitokea uhaba wa maengeneer na serikali inahitaji utachukuliwa kwa kuazimwa na baadaye utabadilishiwa muundo. Hakuna engineer atamaliza miaka 3 anafundisha trust me. Ombeni vijana hiyo ndio njia rahisi
well said mkuu...kama unaweza pata hata hiyo nafasi ukasogeza siku why usiombe tu kwanza,,kuliko kutabika mtaaaniMkuu usiongee ivyo hivi Unajua kuna Engineers wapo mtaani wanataabika. Na kama MTU ana njaa afanyeje na hakuna kazi hata za kujitolea. Ishu ni demand and supply ndiyo inayo determine soko ama market value ya products. Pia hujashikiwa bunduki kuziomba mkuu.
Hivi unaijua njaaa ama unaisikiliziaga kwa jirani tu my friend.
mkuu mbona una kichwa kigumu sana,,hii hali ilivyokua ngumu kwetu wahandisi huioni. na nan alikuambia elimu yetu inaweza kumfanya graduate akajiajiri bila kupata uzoefu wa kazi field.Sasa why uhangaike na hii kazi ya ualimu?
Unajivuniaje kitu ambacho hakikusaidii, maana bila shaka huna ajira lakini pia umeshindwa kujiajiri kwa kuwa engineer !
Wengi wanaosoma engineer ni kutafauta title na sifa tu ili aitwe engineer, lakini kiuhalisia hamna kitu! Engineer huwa hajisifii, anapiga kazi inaonekana, wenye macho watasema!
Sio kila kitu mnapinga, Technician wanaohitajika hapa ni kwa ajili ya kwenda kufundisha vyuo vya Maendeleo ya wananchi FDC bila shakaKiukweli Magufuli natimu yake wametudharau sana wahandinsi, nchi hii yaviwanda,Serikali iliyoanzisha viwanda kila mahala kwa kadri wana CCM wanavyodai, miradi ya ujenzi kila mahala unamchukua kijana aliejiandaa kuwa muhandisi unataka akafundishe shule, kwa nini hawasemi na madoctor waombe kufundisha shule, kiukweli Magufuli na timu yako mmetudharau sana wahandisi.
Kumbuka hao sio waandisi ni matechnician ambao kimsingi hawasomi kwa Mkopo wa serikali!! Hivyo hawadaiwi na loan board!Lengo Magufuli hapa itakuwa namna gani atarudisha mkopo amesomesha vijana halafu hawarudishi kwa kisingizio cha kukosa ajira kaamua wahandisi wakale vumbi la chaki awakabe kisawasawa...
Acha siasa! Engineer hawezi kuwa mwalimu? Chuo umefundishwa na nani?? Alafu engeneer level ya diploma kuna technical school nyingi,za kufundisha, vyipo vyuo vya kati mfano Focal development college( FDC) vipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, vinatoa cheti cha ufundi kama wa veta! Unataka nani akafundishe? Kuitwa engineer na unauza mkaa hiyo ndo sifa?? Au kwenda kutoa ujuzi wako kwa wengine?Tanzania ya viwanda iko wapi..
Sasa wakuu naomba kuuliza pale kwenye kuchagua masomo inabd tujaze masomo ya ufundi au ya sayansi tu mana kuna sehem yakuchagua masomoAcha siasa! Engineer hawezi kuwa mwalimu? Chuo umefundishwa na nani?? Alafu engeneer level ya diploma kuna technical school nyingi,za kufundisha, vyipo vyuo vya kati mfano Focal development college( FDC) vipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, vinatoa cheti cha ufundi kama wa veta! Unataka nani akafundishe???? Kuitwa engineer na unauza mkaa hiyo ndo sifa?? Au kwenda kutoa ujuzi wako kwa wengine?
Huu ni ushauri wa mzazi kwa mwanae.Ushauri wa bure kwa kada za engineering zilizotajwa kwenye tangazo la Tamisemi.
Ombeni wadogo zangu, chonde chonde ombeni hiyo kazi, alaf huko mbele mtapigana kivingine, kuna option inaitwa Recategorization kwenye utumishi hiyo inakuwezesha kubadilishwa cheo kwenye utumishi na salary yako kubadilika..
Mkuu sio utoto lakini kiukweli wanatufedhehesha, nawatasababisha kada ya uhandisi waliofaulu vizuri form six hasa pcm wasiikimbilie, kwakujua huku unaweza kwenda kuwa hata mwalimu.Wenye njaa waombe/tuombe mbele ya safari ndio itajulikana.Acha utoto mdogo wangu, unawakatisha wenzio tamaa, Kikubwa ni kuingia kwenye ajira ya serikali. Jina likishaingia kwenye pay roll ni rahisi Sana kubadilishwa kitengo. Ikitokea uhaba wa maengeneer na serikali inahitaji utachukuliwa kwa kuazimwa na baadaye utabadilishiwa muundo. Hakuna engineer atamaliza miaka 3 anafundisha trust me. Ombeni vijana hiyo ndio njia rahisi
Yeah niushauri mzuri.Huu ni ushauri wa mzazi kwa mwanae.
Respect.
Mkuu mbona umeng'ang'ania engineer level ya diploma wakati wamesema nawenye degree(shahada)waombe?.Tuombeni Tuombeni vijana ambao tunanjaa/wananjaa .Acha siasa! Engineer hawezi kuwa mwalimu? Chuo umefundishwa na nani?? Alafu engeneer level ya diploma kuna technical school nyingi,za kufundisha, vyipo vyuo vya kati mfano Focal development college( FDC) vipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii, vinatoa cheti cha ufundi kama wa veta! Unataka nani akafundishe???? Kuitwa engineer na unauza mkaa hiyo ndo sifa?? Au kwenda kutoa ujuzi wako kwa wengine?
Wote diploma/degreeUnajua sijawaelewa humu , wanaoweza kuomba ni Bachelor Of Engineering AU Diploma in Engineering ????
Alafu iyo ajira.tamisemi.go.tz HAIFUNGUKI
Ndio uchumi wakati huo mkuu.Engineer anakwenda kushika chaki?.kweli tumefikia pabaya
Mbona site yenyewe haifunguki . Watu tunataka tuombe tu. Huko mbele tutajiongeza ,Ushauri wa bure kwa kada za engineering zilizotajwa kwenye tangazo la Tamisemi.
Ombeni wadogo zangu, chonde chonde ombeni hiyo kazi, alaf huko mbele mtapigana kivingine, kuna option inaitwa Recategorization kwenye utumishi hiyo inakuwezesha kubadilishwa cheo kwenye utumishi na salary yako kubadilika.
Jambo lingine ni kwamba ukishapata Cheque number utaweza kuhama kwenda taasisi nyingine ya kiserikali kama vyuo vikuu kuwa Lecturer au engineer kama kawaida na hizo nafasi kwa sasa zipo nyingi tu za kuhamia taasisi zenye upungufu wa wataalam wa kada flani.
Mimi ni shuhuda, siwezi kusema hapa kwamba nilitoka wapi na sasa nipo wapi ila humu humu JF kuna watu tunafamiana vizuri na wao ni mashuhuda, nilianzia kazi kwenye kada ya mbali sana lakini nilipambana na saivi niko kwingine nafanya kazi ninayoipenda.
Msidanganywe na pass mark kwenye makaratasi mkavimba vichwa kwamba nyie ni wahandisi mnadharirishwa, hayo makaratasi hayajui maisha, nyie ndo mnajua hali halisi ya maisha, weka makaratasi kabatini ingia kupambana kitaeleweka tu.