Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

Wana Jf. Kuna ajira hapa kweli? Au waliotuma hawana sifa? Au hawajafikia hao 13,000 wanaowataka?
JamiiForums1275515450.jpg

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Huenda inasogezwa muda wa uchaguzi upite watu warudi kwenye viti halafu usomaji wa namba uendelee.

Hizi ajira zimetangwazwa very technical watakao kosa hapa ihesabiwe 5 years more.

Ni mawazo yangu tu yaheshimiwe.
 
Wanaweza fanya izo Mambo siasa n mbaya sasa.
 
H
Lengo Magufuli hapa itakuwa namna gani atarudisha mkopo amesomesha vijana halafu hawarudishi kwa kisingizio cha kukosa ajira kaamua wahandisi wakale vumbi la chaki awakabe kisawasawa.​

Mshahara hapa ni 716,000 take home itachezea 540,000 lakini fursa naiona kwa wahandisi wa ujenzi maana halimashauri nyingi hazina wahandisi so wakurugenzi wanaweza kuwatumia wahandisi.​

TAMISEMI ni wizara kubwa ina taasisi kibao mfano TARURA, IDARA ZA UJENZI, DMDP nk kwahiyo unaweza omba kama ticha ukifika kwa mkurugenzi tengeneza connection akubakize.​

Ukienda kushangaa huko utaishia kuchomekea mashati ya kung'aa na suruari za vitamba na kulima kilimo cha mbogamboga, kuandaa andalio la somo mpaka ukome.​

Hii ndiyo Tanzania anayoitaka Mkuu wa Nchi. ERB wapo tu kazi kutumbua ada zetu na Hamna wanachokifanya wameshindwa kusimamia weledi wanaangalia pesa tu wamekomaa kuchangisha michango wajenge jengo sijui la maonesho gani.​

Wanatakiwa wajitathimini hawa kazi kukuza vitambi tu na wanapeana ajira tu kwenye board yao hutwahi kusikia wametangaza kazi pale ni kujuana.
Hii nchi ni ya kipumbavu Sana , yaani kati ya Kada zilizosahaulika na zinazodharaulika hii nchi ni uhandisi , Mzee yaani naumia Sana kuona nashindwa kupractice fani yangu sababu ya ukosefu WA ajira ,aisee inaumziza Sana , ni Bora waache kabisa kutoa mikopo na hizi kozi vyuo visitishe udahili mpya , Huu uduwanzi kabisa .
Hii nchi haiji kuendelea Kwa ufala kama huu
 
Injinia gani wewe?
 
Back
Top Bottom