We huwezi pata kazi kwa dharau zako hizo,ngoja sisi tuendelee kula pesa ulifikiri ukitoka chuo na kazi mkononi,unadharau walimu Sasa ngoja ukome utawaheshimu tu.
Wachina ndio wanawafunika Engeneer wa kibongo, yaani projects kubwa zote ni wachina Sasa wewe engeneer wa UDSM lini utapata tenda..lazima msote, maisha yanakuchapa tu hakuna namna