Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paris ya Igoma au wapi mkuu?Mkuu sio wewe kweli ulopaki hii v8 stl hapa paris😀
Swala la monthly report sijui huko serikalini,lakini huku tulipo kwenye NGO's tuna report ngumu sana maana wanatuchunguza kupita kiasi kwenye swala la fuel na garage maintenance, ni lazima kufanya monthly report iliyoenda shule mbaya kabisa, ila kwenye safari na perdiem nakuunga mkono...hua tunasema pandisha huo mkaa bila kuuliza bei,weka mchele kilo 50,yaani hakuna mke wa dereva wa DFP mwenye mawazo ya atakula nini keshoPamoja na kwamba wengi hufikiria dereva anadharaulika katika utumishi na kuchukuliwa Kama kibarua fulani lakini linapokuja suala la upataji wa posho madereva wako vizuri huenda kuliko watumishi wengine katika maofisi kwa sababu kila safari ya kazi ya kutoka nje ya kituo cha kazi lazima dereva ahusishwe.
Nazungumzia haswa zile ofisi ndogo za mikoa acha zile HQ za zone ambazo unakuta madereva wako watano au wanne ila hizi ofisi ndogo zilizo chini ya wizara yaani Serikali kuu unakuta gari moja na dereva mmoja na ndio hiyohiyo anayotumia boss na watumishi katika kazi hivyo dereva ana nafasi ya kutoka kila safari.
Hata ikitokea boss au mkuu wa kitengo kajiandikia dokezo peke yake kawatema wafanyakazi bado ni lazima dereva huyohuyo ndio ahusishwe na zikitokea activities za wafanyakazi bado tena anaula dereva huyohuyo.
Kingine majukumu yake mengi hayana lawama yaani means kwamba haulizwi kuhusu report za kazi na hata Kama ikitokea mmeharibu kazi yeye hausiki kazi yake ni kuwafikisha site Basi.
Hivyo ni wazi kwamba dereva ni fani nzuri tofauti na watu wanavyochukulia.
Inatrgemea SUA hapo madereva kibao wanaendesha matrekta...Pamoja na kwamba wengi hufikiria dereva anadharaulika katika utumishi na kuchukuliwa Kama kibarua fulani lakini linapokuja suala la upataji wa posho madereva wako vizuri huenda kuliko watumishi wengine katika maofisi kwa sababu kila safari ya kazi ya kutoka nje ya kituo cha kazi lazima dereva ahusishwe.
Nazungumzia haswa zile ofisi ndogo za mikoa acha zile HQ za zone ambazo unakuta madereva wako watano au wanne ila hizi ofisi ndogo zilizo chini ya wizara yaani Serikali kuu unakuta gari moja na dereva mmoja na ndio hiyohiyo anayotumia boss na watumishi katika kazi hivyo dereva ana nafasi ya kutoka kila safari.
Hata ikitokea boss au mkuu wa kitengo kajiandikia dokezo peke yake kawatema wafanyakazi bado ni lazima dereva huyohuyo ndio ahusishwe na zikitokea activities za wafanyakazi bado tena anaula dereva huyohuyo.
Kingine majukumu yake mengi hayana lawama yaani means kwamba haulizwi kuhusu report za kazi na hata Kama ikitokea mmeharibu kazi yeye hausiki kazi yake ni kuwafikisha site Basi.
Hivyo ni wazi kwamba dereva ni fani nzuri tofauti na watu wanavyochukulia.
Fikra za nini?Fikra za aina hii kumbe bado zipo Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Za dereva na kufikiria kuwa derevaFikra za nini?