Kada ya Udereva ni fani ya maana sana ofisi za Serikali

Madereva wa serekali wanaoogzoa kwa kula hela za mafuta derev akipewa kibali akajaza mafuta sheli hawek yote ltr 20 kwenda mbele mtu hakosi wanapiga san hela
 
Gari za umma raha sana, harafu ukute mpya, kuna kipindi nilienda halmashauri moja hivi ,nilikuta madereva wanajiachia sana, gari zilikuwa za kutosha, wilaya ilikuwa kubwa kabla ya kugawanywa na kuwa mkoa kamili.
Vijina walikuwa wakijenga na kufanya matanuzi vzuri tu
 
Swala la monthly report sijui huko serikalini,lakini huku tulipo kwenye NGO's tuna report ngumu sana maana wanatuchunguza kupita kiasi kwenye swala la fuel na garage maintenance, ni lazima kufanya monthly report iliyoenda shule mbaya kabisa, ila kwenye safari na perdiem nakuunga mkono...hua tunasema pandisha huo mkaa bila kuuliza bei,weka mchele kilo 50,yaani hakuna mke wa dereva wa DFP mwenye mawazo ya atakula nini kesho
 
Inatrgemea SUA hapo madereva kibao wanaendesha matrekta...
 
Hili lina ukweli sana... hasa hasa ikitokea ofisi inahusika na projects, madereva wanapiga hela sana. Kuna miradi naijua, sio ajabu kukuta dereva yuko nje ya ofisi kwa miezi hata mitatu!

Hata kwenda likizo hawataki πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nilisikia kua dereva wa serikali kila akitembea umbali wa 100Km anakula per diem ya 100k.
 
Fikra za aina hii kumbe bado zipo TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…