Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Status
Not open for further replies.

Mafisadi ndio mna hofu na maneno ya Mbowe na wananchi wanafurahi kuwa angalau kuna mtu anawatetea.

Iwapo Mbowe hatatoa ufafanuzi na vithibiti vya kauli yake basi itathibitisha jinsi asivyokuwa makini na uongozi wa taifa.

Hii kauli ndiyo imethibitisha kuwa Mbowe anafaa kuwa kiongozi wa kitaifa kwa vile amewapata mafisadi kama nyie mkichanganiyikiwa.

Kama mna ubavu, mfungulieni Mbowe mashitaka.
 
sasa picha ya mbowe ndio picha ya ajabu ajabu au ?? acha kujivika utume bepari mkubwa wewe ! watu tunaenjoy kuona dogos kama nyie mnadandia treni kwa mbele, sasa hili la leo unalo kijana ! na utajuta kwa nini umelidandia kwa mbele !

Sina wasiwasi na mafisadi kama wewe.
Endelea kujiabisha na kuonyesha vile uko obsessed na Mbowe.

Hapa mafisadi hamkatizi na so far umeona kilichotokea kwenye thread yako ya kifisadi.
 
zemacorpolo,sio fisadi kasema anachoamini kama member na hiyo frustration freenzy yako ndio watu wanaipenda humu ndani kukuona unavyopasuka leo ! mbona tutakuchezea kama mpira wa kona, ukienda huku nakupiga kidochi unarudi ulipotoka, ukirudi tena unakula shuti unatoka nje, unakuwa mpira wa kona 'afu watu tunakugombania ! watu peoppleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!
 
sasa picha ya mbowe ndio picha ya ajabu ajabu au ?? acha kujivika utume bepari mkubwa wewe ! watu tunaenjoy kuona dogos kama nyie mnadandia treni kwa mbele, sasa hili la leo unalo kijana ! na utajuta kwa nini umelidandia kwa mbele !

Wewe ni picha tu.

Halafu mkuu wewe nasikia ulipewa kazi ya kufuatilia mbowe na chadema, hivi yale mengine mabaya yanayotokea mbona huwa unakaa kimya?

Umeulizwa mbona hujalazimisha mkapa haojiwe?

Kuhusu vijana(dogos) wewe je? mbona unadandia kwenye migongo ya mabepari wanaosomba kila raslimali ya nchi hata bila kunawa
 
siku mbowe atakapokuja na kufafanua kauli yake hiyo aliyosema,(kitu ambacho kitacause sparkle) nitawatafuta hawa vidogoz wanaopiga kelele humu ndani wakati wazee wanachambua mamboz !

Endelea kusubiri tu kama Mkapa na Chenge wanavyosubiri kuona magazeti ya bongo yakiacha kuandika habari zao za kifisadi.

Hii ni jamii forums na utabaki na viroja tu miaka yote kama usipojirudi na kuomba msamaha kwa mungu na watanzania wote kwa utetezi wako wa ufisadi.
 
nimehesabu hata kabla ya kufika 3 ushaanza viroja..

angalau umepunguza obsession dhidi ya Mbowe, utapelekwa hapa hadi ukose la kusema. Huu ni mwanzo. Imepita miezi zaidi ya sita kuanzia utangaze kuwa unataka kuigeuza JF ili ianza kutetea ufisadi na umejikuta ukiongeza anti-ccm kila siku.

Endelea tu kupasuka.... ukidunda na kurudi, mimi nakusubiria tu.
 
Wewe ni picha tu.

Halafu mkuu wewe nasikia ulipewa kazi ya kufuatilia mbowe na chadema, hivi yale mengine mabaya yanayotokea mbona huwa unakaa kimya?

Alifuatilia akakosa wapambe na akajikuta mpweke?

Umeulizwa mbona hujalazimisha mkapa haojiwe?

Kuhusu vijana(dogos) wewe je? mbona unadandia kwenye migongo ya mabepari wanaosomba kila raslimali ya nchi hata bila kunawa

Unategemea atafanya hivyo? Huyo ni fisadi hadi moyoni. hana uchungu kabisa na mali za watanzania.
 
Mgaya tatizo lako kuna vitu umeshaamua kujikataza kufikiria, kwa namna hiyo utashindwa kunufaika na forum.

Open your eyes, umekuwa ukiniita fisadi kwa muda mrefu na hakuna hata siku moja niliyokuuliza wala kukanusha unachosema. Ungekuwa unajiruhusu kufikiria ungejiuliza kwanini sijihusishi na shutuma zako za kuniita fisadi.

Ushabiki una raha yake kwenye mpira na michezo mingine, lakini tunapojadili mambo muhimu ya uongozi wa taifa ushabiki hauna manufaa yoyote na badala yake unachelewesha maendeleo.
 
Wewe ni fisadi tu na nitakuita hivyo kila mara nikikuona hapa ukitetea ufisadi. Toka siku ya kwanza umeanza kupost hapa nilikuambia kuwa wewe ni fisadi maana ulikuwa unatetea ufisadi.

Unayetakiwa kufungua macho ni wewe ambaye huoni mabilioni ya watanzania yanayoibwa na ccm huku watanzania wakifa kwa kukosa madawa na huduma muhimu.
 
Just be informed that am not going to urge with you.
 
Just be informed that am not going to urge with you.

Najua wewe siyo fisadi maana jina lako siyo geni katika mitandao, hila mtandao huu una ugeni fulani ambapo unaweza kujikuta umeshangilia pale ambapo hutakiwi kushangilia ndio maana umeitwa jina hilo.
 
Najua wewe siyo fisadi maana jina lako siyo geni katika mitandao, hila mtandao huu una ugeni fulani ambapo unaweza kujikuta umeshangilia pale ambapo hutakiwi kushangilia ndio maana umeitwa jina hilo.

Mkuu Kakindo,

Soma posts zake zote (sio nyingi sana -72) uone ni kwanini nimemwita fisadi.
 
Mkuu Kakindo,

Soma posts zake zote (sio nyingi sana -72) uone ni kwanini nimemwita fisadi.

Mkuu

Anyway najua jina hilo kuanzia 2005, sasa sijajua vizuri kama amekuwa attached na grid ya mafisadi. Hila kipindi hicho nilikubaliana na hoja zake.
 
Mkuu

Anyway najua jina hilo kuanzia 2005, sasa sijajua vizuri kama amekuwa attached na grid ya mafisadi. Hila kipindi hicho nilikubaliana na hoja zake.

Hilo jina kuanzia liingie hapa JF (may 2008) limekuwa ni anti MBowe na Chadema na pro- ufisadi. Huwezi jua labda limechukuliwa na mwingine au mwenye jina amebadilika na kuwa fisadi kama wengine wengi.
 
Mkuu

Anyway najua jina hilo kuanzia 2005, sasa sijajua vizuri kama amekuwa attached na grid ya mafisadi. Hila kipindi hicho nilikubaliana na hoja zake.

Mgaya alianza kuniita fisadi nilipomwambia Zitto aembe msamaha kwa kuwaita wana CCM UK wapuuzi.

Tatizo la mwenzetu huyu ni kwamba yeye anajump kwenye conclusions bila kuwafahamu watu na motives zao. Sasa anajikuta anatetea watu wanaojilabel anti mafisadi hata pale wanapokosea, na ukweli ni kwamba sio kila mtu anayepiga kelele za kupiga vita ufisadi basi haupendi ufisadi kuna wale wasio penda kuwa mbali na kibuyu cha asali, the moment you learn who they are it may be too late.
 
Hilo jina kuanzia liingie hapa JF (may 2008) limekuwa ni anti MBowe na Chadema na pro- ufisadi. Huwezi jua labda limechukuliwa na mwingine au mwenye jina amebadilika na kuwa fisadi kama wengine wengi.

Nimepata jibu
 
mgaya mie nilitoka kidogo ! unajua nini ! wewe mzee naomba utulie hawa niachie mie ! wewe kama utaona vipi uchune, niwashughulikie ! na nishawaambia asikimbie mtu hapa leo !

kama karata basi mimi jokeri wao mavi ! wanajua karata ya mavi inaingia mara ngapi ndani ya jokeri ? hawajui ! sasa subiri ninao hawa !

Mbowe ahojiwe !
 
Wewe ni fisadi na mtetezi wa ufisadi na posts zako ndizo zinaonesha hapa. Sio mimi nilikulazimisha utetee ufisadi hapa JF. Au yale uliyosema to urge with people.

kwa vile mimi sioni mioyo ya watu bali maandishi yao hapa, nimekuita fisadi kwa kadri ya maandishi yako hapa ya kifisadi na utetezi wa ufisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…