INAUZWA Kadeti kadeti

INAUZWA Kadeti kadeti

Vine94

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
38
Reaction score
22
Habari za weekend, tunauza suruali Aina ya kadeti Zina ubora wa juu, na zinadumu kwa Hali hiyo muda mrefu.

Bei ni elfu 23 kwa Rejareja
Offer ipo kwa mteja ukinunua kuanzia tatu utauziwa kwa elfu 60 tu.

Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Kongo na aggrey.
Pia kwa wateja wa mikoani tunatuma mzigo kwa gharama nafuu.

Piga simu / WhatsApp 0744575261.

Unaweza kutembelea ukurasa wetu Instagram @ blac_codes kwa zaidi.

Karibuni.
IMG-20200311-WA0002.jpeg
IMG-20200225-WA0004.jpeg
IMG_20200225_110314_334.jpeg
IMG_20200225_110506_457.jpeg
IMG-20200225-WA0005.jpeg
IMG-20200225-WA0002.jpeg
IMG_20200225_110314_335.jpeg
IMG_20200225_110927_255.jpeg
IMG-20200225-WA0024.jpeg
IMG_20200225_110052_148.jpeg
IMG_20200225_110734_597.jpeg
IMG-20200225-WA0017.jpeg
IMG-20200225-WA0019.jpeg
IMG-20200225-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushauriane wakuu kadeti zipi ni nzuri na hazipauki kijanga kijinga?

Sio lazima ziwe anazouza mwana hata kama kuna chimbo unalijua la kadeti kali zisizopauka lilete.
 
Back
Top Bottom