Kadhaa wajeruhiwa baada ya taili za mbele za ndege kupasuka

Kadhaa wajeruhiwa baada ya taili za mbele za ndege kupasuka

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Frankfurt, Germany: wafanyakazi kadhaa wa ndege kampuni ya Lufthansa Boeing 787, wapata majeruhi baada ya taili za upande wa mbele wa ndege(nose gear) kupasuka wakati ikiwa imepaki katika geti la airport ya Frankfurt.

Lufthansa wamesema wafanyakazi kadhaa wapata majeruhi baada ya tukio lakini abiria walikuwa bado hawajapanda katika ndege hiyo.iliyokuwa inafanya safari kuelekea Los Angeles,USA.
Source😀W
Screenshot_20260604-171445~2.png
 
Zingepasuka wakati inatua ingekuwa balaa zadi!
 
Back
Top Bottom