Kadhi courts has no place in the constitution

none of your betting have proven anything so far, you are a nambypamby and barbercueman slum boy, am not ridiculouring here, you must be abnormal.
You just ipso facto yourself Muzzratagastan. Now, go to hellcaco and meet your demigod deity.
 
inaonekana umesha pata ilmu, sasa mpokee yesu mungu mkuu

sibishani na mizimu kama wewe, kila mda umeshikilia kadhi kadhi hatuzunguzmii kadhi ambayo hata kwenye katiba haipo sasa we umeshikilia tuu, endelea kujifurahisha kwa kupoteza muda na mb zako 8 hizo.
 
sibishani na mizimu kama wewe, kila mda umeshikilia kadhi kadhi hatuzunguzmii kadhi ambayo hata kwenye katiba haipo sasa we umeshikilia tuu, endelea kujifurahisha kwa kupoteza muda na mb zako 8 hizo.
This thread is about Kadhi, stop using weed young muzzratagastan.
 
Kuhusu muswada uliopelekwa bungeni itakuwaje..au umefutwa kwa amri ya rais...Pm Pinda atakuwa kadanganya...mbona mambo hayaeleweki kabisa....hakuna cordination.Vipi hali ya Gwajima jameni
 
Kuhusu muswada uliopelekwa bungeni itakuwaje..au umefutwa kwa amri ya rais...Pm Pinda atakuwa kadanganya...mbona mambo hayaeleweki kabisa....hakuna cordination.Vipi hali ya Gwajima jameni

Rejea katika Katiba Inayopendekezwa usikimbilie mambo yaliyo lala, hilo suala halimo so bora uweke hoja nyingine lakini sio hiyo.
 
salama mkuu.mimi mzima kabisa,naona mkulu wa nchi leo kawaambia ukweli lakini kwao ngumu kumeza.
Ndio Mkuu, taratibu wataelewa tu. Na sis tusikate moyo, tuendelee kufundisha Mungu. Barikiwa sana Kuu.
 
Rejea katika Katiba Inayopendekezwa usikimbilie mambo yaliyo lala, hilo suala halimo so bora uweke hoja nyingine lakini sio hiyo.

Kama niko sahihi PM alisema itatungiwa sheria.....anyway tuyaache tuombe salama tu.Na GWAJIMA hali yake vipi wajameni.
 
kama niko sahihi pm alisema itatungiwa sheria.....anyway tuyaache tuombe salama tu.na gwajima hali yake vipi wajameni.

hana jipya gwajima, jitu la kupenda misifa afu linajiita mchungaji, kumbe linajiwekea kuni za jahanamu tu, sio mahala pake hapa usimzungumzie huyo mchungaji fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…