Kadhi courts has no place in the constitution

Kadhi courts has no place in the constitution

Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





SOMENI IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY IBARA INAWEKA WAZI SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS OPERATIONS.
 
11101834_1578965635676810_3404354879732543337_n.jpg

Haya ndio madhara ya mahakama ya kadhi yawapatayo raia wa somalia katika majimbo yanayoshikiliwa na magaidi wa Al-shabaab

we don need this kind of court in our country Tanzania





JAMENI WATANZANIA ILI TUELEWANE SOMENI IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS.
 
Ukisha maliza kutapika Sabuni ya Omo uliyo meza, nionyeshe wapi ilipo Injil aliyo teremsha Allah.

Wewe hujui kwanini kuna forth gospel and who were the recipient. Wewe unaangali Alimasi upande mmoja halafu unasema ipo sawa au lah. Hakika nyie ni vipofu wenye chongo kwenye nyoyo zenu.

Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





HII YOTE NI KUTAMBIANA UKRISTO NA UISLAM UPI ZAIDI BHANA ACHENI KUBISHANA TANZANIA NI MOJA SOMENI IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS.

AFU MASUALA YA IMANI NI YA MTU MMOJA, KAMA ILIVYO HUKUMU SIKU YA MWISHO NI YA MTU MMOJA MMOJA, KAMA UNAONA IMANI YAKO INAKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO ENDELEA NAYO KAMWE USIDHARAU YA MWENZIO HUO NI UTOTO NA TUKIENDELEA HIVI HATUTAFIKA BADALA KUMTUMIKIA MUNGU TUTAANZA KUMTUMIKIA SHETANI.
 
Enough plzz usikashifu dini ya wenzio.

Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





NASIMAMIA UKWELI MTUPU IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS.
 
Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





HII YOTE NI KUTAMBIANA UKRISTO NA UISLAM UPI ZAIDI BHANA ACHENI KUBISHANA TANZANIA NI MOJA SOMENI IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS.

AFU MASUALA YA IMANI NI YA MTU MMOJA, KAMA ILIVYO HUKUMU SIKU YA MWISHO NI YA MTU MMOJA MMOJA, KAMA UNAONA IMANI YAKO INAKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO ENDELEA NAYO KAMWE USIDHARAU YA MWENZIO HUO NI UTOTO NA TUKIENDELEA HIVI HATUTAFIKA BADALA KUMTUMIKIA MUNGU TUTAANZA KUMTUMIKIA SHETANI.
Hivi kuna siri yeyote ile kuwa Shetani yupo chini ya miguu yetu? Mimi kumwambie anaye abudu Shetani kuwa yeye si mali kitu ni kumtambia au kumweleza ukweli?
 
we are too many ! including Jesus !


Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





SOMENI IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS, HAMIA SOMALIA.
 
Hivi kuna siri yeyote ile kuwa Shetani yupo chini ya miguu yetu? Mimi kumwambie anaye abudu Shetani kuwa yeye si mali kitu ni kumtambia au kumweleza ukweli?


Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





SOMENI MIMI NASIMAMAM NA IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS HAYO MENGINE HAYA IHUSU.
 
Na wapemba wamepewa nini huko dodoma ? Wameshindwa hata kuitetea nchi yao? Bora wangetetea mahakama ya kadhi angalau wapate cha kujivunia[/QUOTE





SOMENI MIMI NASIMAMAM NA IBARA YA 41 KWENYE KATIBA PENDEKEZWA UHURU WA IMANI YA DINI, CLEARLY INAWEKA SERIKALI HAS NO PART TO RELIGIOUS INSTITUTIONS HAYO MENGINE HAYA IHUSU.
shida ya baadhi ya watu wanaendekeza sana mabishano yasiyo na maana hawajui tuko hapa kuelimishana, matokeo yake watafika mahala wanaanza matuc, kama katiba inyaopendekezwa haijataja mambo ya mahakamamya kadhi kwanini watu waendelee kuidai na mkuu wannchi alishaweka bayana hivi majuzi kuhusu suala hilo? Watanzani wenzangu tuamke tuisome, tuilewe na mwisho wa siku tupige kura ya ndiyo kwa katiba hii.
 
[h=2]Mahakama ya Kadhi Haipo kwenye Quran[/h]
Ndugu wasomaji.

Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.

Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.

SASA NDUGU WAISLAM:


1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?

2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?

3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?

4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?

5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.


Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.


Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
 
The current debate is about whether or not these “Kadhi” courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania.Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims “minority” who are 35% and the Christians “majority” who are more than 55% have flared up frequently in the past few years. These exasperating tensions are too complex to be labeled as a fundamental antagonism based on religion. Neither Muslims nor Christians (in Tanganyika and Zanzibar) form a homogeneous block.The endless debate in the "Bunge Maalum", which has focused itself on the (Mahakama ya Kadhi) kadhi’s courts and the constitutional review, has allowed extreme elements from both sides to speak out with great vehemence potency and so increased tensions between the two communities. It has crystallized the perceived hurts and prejudices that have lain under the surface of a thin veneer of mutual tolerance. Aspects of the entire situation must be examined for the influence of political elements who use religion for their own ethnic reasons.So we stay with the whole phrase – rule of law – with each one appreciating it according to her needs or as the occasion demands.Can’t Tanzanian Muslims rule themselves by themselves without being in the constitution? What is the big deal, a religious court being entrenched in the constitution that rules over different religions? What is the hidden agenda? I argue Tanzanians to learn from Nigeria, Pakistan and other nations with Kadhis courts and Islamic Sharia "Law"……..understand the meaning of Kafiris as described by Muslims and what sharia law advocates to the same.Readers should remember that the fellows who are drafting the constitution are purely lawyers by profession, and going by their egos and personality they are fellows who can easily convince and confuse your reasoning without much ado. They can easily prove a day is a night. Entrenching the kadhis court in the constitution is purely improper, unmeritorious, unconstitutional and against human rights.Therefore the needs of both the Christians, Hindus, Muslims and any other religion was catered for.There are unforeseen consequences which are not apparent as per now but of which the coe (lawyers) are aware of. Who is a Muslim anyway? Where does she/he live? Whom does she/he live with? How does coexisting with Muslims affect your lifestyle and culture? Will inclusion of kadhi's court in the constitution change all these? The answer is yours.Christians in Tanzania are arguing that including the Kadhi Courts in the constitution is (apart from favoring one religion) setting the stage for the introduction of Sharia law and simultaneously joining Organization of Islamic Conference “OIC”.Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Constitution? Shouldn't the constitution protect the interest of the majority as well as minority?By including Kadhis court in our nation constitution, it is a favor to one religion. It would mean that if need be, we could also include, e.g. Artificial contraceptive clause to favor the Catholic Church in the constitution. Otherwise, anything to do with religion and faith must be left to the concerned believers.Source: Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Tanzanian Constitution?
Hili la mahakama ya kadhi tuachieni wenyewe waislamu,mbona mnaongea sana,wakati ukifika kama tunahitaji ni vzr tukajipanga tukiona kuna sababu hatuhitaji msaada wa serikali kuanzisha,tunao uwezo
 
Isiyoweza kuzuilika ni nuru ya katiba mpya inayopendekezwa hao wengine watapiga kelele afu watalala soon Tanzania sio nchi ya mabeberu ni nchi huru isiyofungamana na dini yoyote!masuala ya udini ni umasikini wa fikra na kifo cha mende!
 
The current debate is about whether or not these "Kadhi" courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania.Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims "minority" who are 35% and the Christians "majority" who are more than 55% have flared up frequently in the past few years. These exasperating tensions are too complex to be labeled as a fundamental antagonism based on religion. Neither Muslims nor Christians (in Tanganyika and Zanzibar) form a homogeneous block.The endless debate in the "Bunge Maalum", which has focused itself on the (Mahakama ya Kadhi) kadhi's courts and the constitutional review, has allowed extreme elements from both sides to speak out with great vehemence potency and so increased tensions between the two communities. It has crystallized the perceived hurts and prejudices that have lain under the surface of a thin veneer of mutual tolerance. Aspects of the entire situation must be examined for the influence of political elements who use religion for their own ethnic reasons.So we stay with the whole phrase – rule of law – with each one appreciating it according to her needs or as the occasion demands.Can't Tanzanian Muslims rule themselves by themselves without being in the constitution? What is the big deal, a religious court being entrenched in the constitution that rules over different religions? What is the hidden agenda? I argue Tanzanians to learn from Nigeria, Pakistan and other nations with Kadhis courts and Islamic Sharia "Law"……..understand the meaning of Kafiris as described by Muslims and what sharia law advocates to the same.Readers should remember that the fellows who are drafting the constitution are purely lawyers by profession, and going by their egos and personality they are fellows who can easily convince and confuse your reasoning without much ado. They can easily prove a day is a night. Entrenching the kadhis court in the constitution is purely improper, unmeritorious, unconstitutional and against human rights.Therefore the needs of both the Christians, Hindus, Muslims and any other religion was catered for.There are unforeseen consequences which are not apparent as per now but of which the coe (lawyers) are aware of. Who is a Muslim anyway? Where does she/he live? Whom does she/he live with? How does coexisting with Muslims affect your lifestyle and culture? Will inclusion of kadhi's court in the constitution change all these? The answer is yours.Christians in Tanzania are arguing that including the Kadhi Courts in the constitution is (apart from favoring one religion) setting the stage for the introduction of Sharia law and simultaneously joining Organization of Islamic Conference "OIC".Do you think Kadhi's courts should be part of the new Constitution? Shouldn't the constitution protect the interest of the majority as well as minority?By including Kadhis court in our nation constitution, it is a favor to one religion. It would mean that if need be, we could also include, e.g. Artificial contraceptive clause to favor the Catholic Church in the constitution. Otherwise, anything to do with religion and faith must be left to the concerned believers.Source: Do you think Kadhi's courts should be part of the new Tanzanian Constitution?
Kadhi koti haina nafasi kwa sasa hapa ,tuache ushabiki katika swala hili
 
Katiba ya chenge nani aipitishe...? Mara hii kila kitu kimekwama
Granta si bure umerogwa. Katiba ya Chenge umeipata wapi!!! Msiwe mnavamia mijadala wakati hamjui lolote. Wewe ni sawa na wale wanaosema Mahaka ya Kadhi imo kwenye Katiba Inayopendekezwa.Huu ni uhuni na uongo usiokubalika. Tulia na usome Katiba Inayopendekezwa ili ujitambue na ukiwa si mbinafsi uwaelimishe na wenzako pia.
 
Granta si bure umerogwa. Katiba ya Chenge umeipata wapi!!! Msiwe mnvamia mijadala wakati hamjui lolote. Wewe ni sawa na wale wanaosema Mahaka ya Kadhi imo kwenye Katiba Inayopendekezwa.Huu ni uhuni na uongo usiokubalika. Tulia na usome Katiba Inayopendekezwa ili ujitambue na ukiwa si mbinafsi uwaelimishe na wenzako pia.
Nini kimekwama kama si wewe na mawazo yako mgando.Wewe ndo umekwama tena kwenye tope la maji taka. Unahitji tingatinga likukwamue ili uweze kusoma katiba na kuielewa. Upo hapo.
 
Kwann mnajifanya mbelembele sana kuipinga mahakama ya kadhi

Granta hujielewi wewe na mleta mada wako, hii kitu haikutakiwa kuingizwa humu ndani kwa sababu inawahusu waislamu pekee walitakiwa wamalizane wenyewe huko huko kwao na sio kutuletea kwenye katiba yetu tunayoipenda, mgogoro ndio unaanzia hapo,Serikali na dini wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom