Kadhi courts has no place in the constitution

 
 

 
Enough plzz usikashifu dini ya wenzio.

 
Hivi kuna siri yeyote ile kuwa Shetani yupo chini ya miguu yetu? Mimi kumwambie anaye abudu Shetani kuwa yeye si mali kitu ni kumtambia au kumweleza ukweli?
 
we are too many ! including Jesus !


 
Hivi kuna siri yeyote ile kuwa Shetani yupo chini ya miguu yetu? Mimi kumwambie anaye abudu Shetani kuwa yeye si mali kitu ni kumtambia au kumweleza ukweli?


 
 
[h=2]Mahakama ya Kadhi Haipo kwenye Quran[/h]
Ndugu wasomaji.

Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.

Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.

SASA NDUGU WAISLAM:


1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?

2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?

3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?

4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?

5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.


Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.


Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
 
Hili la mahakama ya kadhi tuachieni wenyewe waislamu,mbona mnaongea sana,wakati ukifika kama tunahitaji ni vzr tukajipanga tukiona kuna sababu hatuhitaji msaada wa serikali kuanzisha,tunao uwezo
 
Isiyoweza kuzuilika ni nuru ya katiba mpya inayopendekezwa hao wengine watapiga kelele afu watalala soon Tanzania sio nchi ya mabeberu ni nchi huru isiyofungamana na dini yoyote!masuala ya udini ni umasikini wa fikra na kifo cha mende!
 
Kadhi koti haina nafasi kwa sasa hapa ,tuache ushabiki katika swala hili
 
Katiba ya chenge nani aipitishe...? Mara hii kila kitu kimekwama
Granta si bure umerogwa. Katiba ya Chenge umeipata wapi!!! Msiwe mnavamia mijadala wakati hamjui lolote. Wewe ni sawa na wale wanaosema Mahaka ya Kadhi imo kwenye Katiba Inayopendekezwa.Huu ni uhuni na uongo usiokubalika. Tulia na usome Katiba Inayopendekezwa ili ujitambue na ukiwa si mbinafsi uwaelimishe na wenzako pia.
 
Nini kimekwama kama si wewe na mawazo yako mgando.Wewe ndo umekwama tena kwenye tope la maji taka. Unahitji tingatinga likukwamue ili uweze kusoma katiba na kuielewa. Upo hapo.
 
Kwann mnajifanya mbelembele sana kuipinga mahakama ya kadhi

Granta hujielewi wewe na mleta mada wako, hii kitu haikutakiwa kuingizwa humu ndani kwa sababu inawahusu waislamu pekee walitakiwa wamalizane wenyewe huko huko kwao na sio kutuletea kwenye katiba yetu tunayoipenda, mgogoro ndio unaanzia hapo,Serikali na dini wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…