Kadhi courts has no place in the constitution


ww mvaa pedopusha,mbona hutumii akili?jibu swali lake bwana.
 

Mkuu,sikusema mahakama ya kadhi ni kitu kidogo na naona umefanya kosa kama nililofanya mimi wakati namuuliza huyu ndugu maswali haya

Mkuu,nilichouliza ni kama yule ndugu alikuwa anaona kama mahakama ya kadhi ni ni kitu kidogo na ndio nikamuuliza ni kwa kipimo gani anaiona ni kitu kidogo lakini kwa bahati nzuri mimi ndio nilikuwa mwenye kosa kwa kutokumuelewa alichokuwa ameandika

Ukweli ni kuwa alikuwa ameandika "hebu jiulize kitu kidogo tu" na sio "mahakama ya kadhi ni kitu kidogo"

Nadhani utakuwa umenipata mkuu!
 

Ila ww ukisikia kelele za mwizi ndio wa kwanza kutoka na petroli kwenda kumbanika binaadamu mwenzio kama vile nyama choma festival
 



I see !!
Serikali sio kila raia.
Kusema kwamba serikali ni mimi na wewe ni propoganda za watawala ili wakwepe majukumu yao.Na wamekua wakitumia propoganda kama hizo kuwarubuni watanzania kwa dini zao ili waendelee kulaumiana na kuchukiana huku wao wakiishi Masaki na Osterbay kwenye mageti makubwa na ulinzi mkali.

Katiba ya mwaka 1977 imetoa tafsiri ya neno Serikali:
SURA YA KWANZA:

SEHEMU YA PILI.

MALENGO MUHIMU NA MISINGI YA MWELEKEO WA SHUGHULI ZA SERIKALI.

Ibara ya 6.

Katika sehemu hii ya sura hii,isipokua kama maelezo yanahitaji vinginevyo,neno ''Serikali'' maana yake ni pamoja na Serikali ya jamhuri ya Muungano,Serikali ya mapinduzi Zanzibar,Serikali za mitaa na pia mtu anayetekeleza madaraka au mamlaka yoyote kwa niaba ya serikali yoyote.

Kwa hiyo hapo ninarudi palepale kuwa serikali na Chama tawala ndio wanapiga danadana suala la mahakama ya kadhi na sio wakristo kwani wakristo wengi nao wanatiwa hofu tu na viongozi hao hao wa serikali kama alivyo jenga hofu Lukuvi juu ya Zanzibar kuwa dola la kiislam.

Serikali ikiwa na nia ya dhati juu ya mahakama ya kadhi itatoa elimu kwa wakristo jinsi itakavyoweza kuisimamia ili isije ikawa ni chanzo cha machafuko.a
 
Ndugu yangu heshimu Imani za wenzako,Dharau haina mwisho mwema.Wenzako wa ISISL wanaendelea kupokea kipondohuko Syria.Jipange kujenga hoja huenda mkatushawishi tuwape mahakama ya Kadhi.

..........duuh ! kumbe mnayo nyinyi !?.....:A S-eek:....sasa mna kazi nayo gani !? Farudume
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mungu wenu hawezi kuwahukumu bila Mahakama ya Kadhi kutambuliwa na Serikali?

..........Mungu wetu hakuwahi kuja Duniani, sawa na mungu wenu aliyewahi kuja Duniani halafu mkamfanya vibaya ! (sulubiwa !) Farudume
 
Last edited by a moderator:
Mnapinga MAHKAMA YA KADHI bila hata KUJUA hicho mnachopingia.

Kweli elimu ni mali!

A qadi (also known as qaadi, qaadee, qazi, kazi, quazi, kadi or kad&#305😉 (Arabic: قاضي‎ qāḍ&#299😉 is a judge ruling in accordance with Islamic religious law (sharia), appointed by the ruler of a Muslim country. Qadis traditionally have jurisdiction over all legal matters involving Muslims. The judgment of a qadi must be based on ijmah, the prevailing consensus of the Islamic scholars (ulema).

The origin of the institution of qadi is the old Arab arbitrator, the Hakam, but qualities from officials in areas conquered by Arabs have been added to the structure.

Kwa msaada wa Wikipedia
 
Haya sasa
 

Attachments

  • 1411931648624.jpg
    91.3 KB · Views: 75
Mkuu acha utojo kwenye akili yako, Mungu anahukumuje duniani...? Mungu kaleta sheria na hukumu kwa watu WAHUKUMIANE hapa duniani...
You are mixing things. Galatians 3:10 For as many as are of the works of the law are under the curse: for it is written, Cursed is every one that continueth not in all things which are written in the book of the law to do them.

Go, figure out, who is under the curse.
 
Haya sasa
In principle, a state that constitutionally recognizes individual choice in matters of personal law need not make provision for constitutional entrenchment of a court system to guarantee realization of that ideal.
 
did you counted Jesus and his flocks !

..........Mungu wetu hakuwahi kuja Duniani, sawa na mungu wenu aliyewahi kuja Duniani halafu mkamfanya vibaya ! (sulubiwa !) Farudume

In my opinion, it is misconceived for the Muslims to suppose that they have a constitutional right to have the Kadhis courts entrenched in the Constitution, in contrast under the terms of the treaty between the Sultan of Zanzibar, the British and the governments of East Africa, inter-alia, if the Kadhis courts had to be entrenched in the Constitution as part of a political deal but that in itself does not make it a constitutional right in the same way that Muslims, like all other Tanzanians, have a constitutional right to protection from discrimination.

Wherefore, Kadhi Court is unconstitutional and unmeritorious ad infinitum,
 

Kwani mahakama za kikristo zipo??

Sasa kama zipo na nyinyi si mziingize kwenye katiba??

Kupiga ramli za wenzenu zisiingie haisadii.
 
Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.

NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.

All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.

cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc
 
Last edited by a moderator:
Kwani mahakama za kikristo zipo??

Sasa kama zipo na nyinyi si mziingize kwenye katiba??

Kupiga ramli za wenzenu zisiingie haisadii.
It is unconstitutional to have such an institution in the constitution. It is the matter of ethicalities.
 
hivi wewe makalio mimi kodi yangu itumike kuendeshe kitu ambacho hakinihusu..hebu kwanza fikiria siyo unatoa posti za kijinga
 
Katiba mpya ilipaswa iwe na mambo yafuatayo:
(1)Amri kumi zilizotolewa na Mungu kwa wanadamu wote.Huu ndio msingi wa sheria zote ikiwemo katiba .
(2)Ubatizo.
(3)Mahakama ya kadhi.

Pia Katiba Itamke kuwa Tanzania ni nchi ya watu wenye dini na imani tofauti.Hivyo basi serikali haitafungamana na dini yoyote.

Au itamke kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini rasmi/maalum.

Kusema kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini ni uongo kwani dini zipo tanzania na zilikuwepo hata kabla ya serikali ya Tanzania na ya mkoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…