Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Ile ya kapombe ni bambi la kawaida (kama umecheza mpira utajua maana ya bambi). Kikubwa ni kwamba yule mchezaji hakunyanyua mguu.Refa alitakiwa atoe red card katika lile tukio ambalo ule mjamaa wa Mwadui ulitaka kumvunja mguu Kapombe.. Lakini tukio la Bocco halikustahili kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini embu tuseme ile inapaswa kuwa red card, je ingezuiaje boko kupewa kadi nyekundu maana hayo matukio hata hayahusiani.
Mwisho hata mimi naona boko alifanya makusudi, lile kosa halipaswi kufanywa na mchezaji mwenye uzoefu kama wa boko