Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,570 Reaction score 10,517 Sep 28, 2018 #21 sembo said: Refa alitakiwa atoe red card katika lile tukio ambalo ule mjamaa wa Mwadui ulitaka kumvunja mguu Kapombe.. Lakini tukio la Bocco halikustahili kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ile ya kapombe ni bambi la kawaida (kama umecheza mpira utajua maana ya bambi). Kikubwa ni kwamba yule mchezaji hakunyanyua mguu. Lakini embu tuseme ile inapaswa kuwa red card, je ingezuiaje boko kupewa kadi nyekundu maana hayo matukio hata hayahusiani. Mwisho hata mimi naona boko alifanya makusudi, lile kosa halipaswi kufanywa na mchezaji mwenye uzoefu kama wa boko
sembo said: Refa alitakiwa atoe red card katika lile tukio ambalo ule mjamaa wa Mwadui ulitaka kumvunja mguu Kapombe.. Lakini tukio la Bocco halikustahili kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ile ya kapombe ni bambi la kawaida (kama umecheza mpira utajua maana ya bambi). Kikubwa ni kwamba yule mchezaji hakunyanyua mguu. Lakini embu tuseme ile inapaswa kuwa red card, je ingezuiaje boko kupewa kadi nyekundu maana hayo matukio hata hayahusiani. Mwisho hata mimi naona boko alifanya makusudi, lile kosa halipaswi kufanywa na mchezaji mwenye uzoefu kama wa boko