Kadi ya mpiga kura

Kadi ya mpiga kura

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,876
Jama ngoja niwataarifu. Kitambulisho changu cha kupigia kura ambacho nimekitumia mwaka 2005 sikuwa nakitumia kwa jambo jingine. Japo vitambulisho hivyo vyaweza kutumika kama utambulisho kwenye sehemu mbalimbali lakini mimi iskufanya hivyo kwa kukitunza.

Lakini leo nimekikumbuka na kuona nisipotoa tahadhari wengi wanaweza kukumbwa na nilichoona kwenye kitambulisho changu. Ile lamination ni kama haisaidii sana kiasi kwamba nadhani moisture inapita hadi ndani ya ile karatasi.

Hivyo yale maandishi ambayo yaliandikwa kwa kalaku ya wino yanaanza ku-faint.

Nimeamua very soon nikakifanyie lamiination upya ili kiweze kufanya vitu vyake hapo mwakani.

Sijui wengine viko katika hali gani. Mimi naweza kufanya lamination. Je huko vijijini hali ikoje au ni mimi niliykfanya uzembe.

Je wenzetu wa Busanda, Tarime, Biharamulo vitambulisho vyao havikuonyesha hali hiyo?

Je kuna uwezekano wa ku-renew kitambulisho kwa sababu za kuchakaa.

Naomba elimu niko chini ya miguu yenu.
 
Back
Top Bottom