Kadi ya Mtoto ikichanika, Unaweza Kupata Nyingine?

Kadi ya Mtoto ikichanika, Unaweza Kupata Nyingine?

Kelela

Senior Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
191
Reaction score
308
Habari za leo!

Nauliza kama kadi ya mtoto ya kliniki imechanika kiasi kwamba ni vigumu kuiunganisha, je unaweza ukapata kadi nyingine ili ujaze tena taarifa zake?

Na kama inawezekana kupata nyingine, ni hatua zipi za kufuata ili kuipata? Ahsanteni.
 
Nenda kituo cha afya ulipokuwa unaudhulia kliniki umwoneshe nesi hiyo kodi atakusaidia
 
Back
Top Bottom