Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Bado nyie wapinzani mnawaza 2025 na Katiba?Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.
Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Kadi ya send off tu unaambiwa anaolewa Nani, ndo Kadi ya Jambo la kitaifa?Bro, nieleweshe. Je kadi siku hizi zinakuwa na kile utakachoenda kuambiwa?
Tunaomba utuwekee hzo katuni. Sisi wa Mbwinde hatukuzionaBado nyie wapinzani mnawaza 2025 na Katiba?
Rest assured , rejea katuni za Kipanya, lile kaburi mtu katoka, rejea katuni zakipanya za wiki hii: Kama viongozi wa Dini, wawakilishi wa Mungu hapa duniani wanadanganywa huo utawala ni MUNGU pekee ndio ataaamua , Muachieni Mungu.
Ya Malawi yanatatajiwa huku pia.Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.
Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Kadi yenyewe iko wapi? Tunaomba link kwa sababu wengine hatujaiona. Kama ikulu ilifanya utapeli basi maaskofu wanatakiwa kutoa tamko kali sana sana na kususia shughuli zote za ikulu.Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.
Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Wewe ni mjinga kabisa. Unaona utapeli waliofanya ikulu ni sawa? Kutumia utapeli kuita askofu ni kutofautiana kisiasa? Idiot!Huyu KITIME ajitazame...
Najiuliza , nani aliipiga picha hiyo kadi ya mwaliko? Ok imepigwa picha.. why exposed!?
Haiko sawa na haiko salama ktk usalama wa nchi. Ifike mahala hata kama tunatofautiana kisiasa tuheshimu mamlaka.
Something went wrong somewhere..
Yaani unaambiwa karibu kwenye hafla ya chakula kumbe unakuta ni Harusi ya X Wako ?; Si wangekwambia huenda usingeenda na Mke wako ?Bro, nieleweshe. Je kadi siku hizi zinakuwa na kile utakachoenda kuambiwa?
Mi nilipoona maaskofu hawana furaha mikono ikiwa shavuni na wasiwasi wa mzungu aliyekuwa upande wa mwarabu nilinotice something fishy!!Yaani unaambiwa karibu kwenye hafla ya chakula kumbe unakuta ni Harusi ya X Wako ?; Si wangekwambia huenda usingeenda na Mke wako ?
Au Unaambiwa njoo unadhani ni Kipaimara kumbe ni Kitchen Party...; Bila kuambiwa utajuaje kama uvae Kanzu, Jeans au Nguo za Kitamaduni kama issue ni Kumsimika Chief?
Point yako ni ipi-? Kwamba hiyo kadi ni siri? Hiyo kadi sio HGA ya Dpw.Huyu KITIME ajitazame...
Najiuliza , nani aliipiga picha hiyo kadi ya mwaliko? Ok imepigwa picha.. why exposed!?
Haiko sawa na haiko salama ktk usalama wa nchi. Ifike mahala hata kama tunatofautiana kisiasa tuheshimu mamlaka.
Something went wrong somewhere..
Sidhani kama ni kweli ulichoandika na kile mleta uzi alimaanisha. Mleta uzi alimaanisha kwenye kadi ya mualiko iandikwe nini kitazungumziwa. Alitaka kadi ya mualiko kwa ajili ya kushuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Bandari iandikwe Rais ataongea moja mbili tatu na sio kama ulivyosema wewe.Yaani unaambiwa karibu kwenye hafla ya chakula kumbe unakuta ni Harusi ya X Wako ?; Si wangekwambia huenda usingeenda na Mke wako ?
Au Unaambiwa njoo unadhani ni Kipaimara kumbe ni Kitchen Party...; Bila kuambiwa utajuaje kama uvae Kanzu, Jeans au Nguo za Kitamaduni kama issue ni Kumsimika Chief?
Tukubaliane tu hii Awamu imejaa USANII
Hio Hafla ilikuwa ni ya NINI ? naomba tu unijibu na hilo Jibu lako je linahitaji maneno zaidi ya matatu ? Yaani inahitaji mtu kuandika Thesis na Attachments (Appendices na References) ?Sidhani kama ni kweli ulichoandika na kile mleta uzi alimaanisha. Mleta uzi alimaanisha kwenye kadi ya mualiko iandikwe nini kitazungumziwa. Alitaka kadi ya mualiko kwa ajili ya kushuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Bandari iandikwe Rais ataongea moja mbili tatu na sio kama ulivyosema wewe.
POLE SANA PADRI KITIMAKadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.