Ukitoa mchango wa harusi au kualikwa tu harusini kadi ya mwaliko itaandikwa ni taarifa ya msiba au komunio au ubatizo?Bro, nieleweshe. Je kadi siku hizi zinakuwa na kile utakachoenda kuambiwa?
Tec Mungu anawaona ,Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.
Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Samia Suluhu Hassan ni Heavy Weight kama Jakaya kwmy SiasaSiwezi kufa twice mm!! Nilishakufa nikafufuka.
Malawi alipokufa wa Kiume, Makamo aliyerithi Mikoba alikuwa wa kike kama kwetu,
Na ulipofanyika uchaguzi, waliiba kama jadi Yao bt kitu ilienda Kwa upinzani!!
So CCM Ina machaguo mawili,
1. Agombee kitu iende upinzani,
2. Asigombee, aje mgombea mwingine tubadili Katiba tupate tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya.
Sababu CCM ni chama kikubwa,
Bado HATOGOMBEA!!
HATOGOMBEA.Samia Suluhu Hassan ni Heavy Weight kama Jakaya kwmy Siasa
tuliwaambia hivyo wakati wa JK mkatoa kebehi sana na mkaja kujua umwamba wake wa kisiasa miaka ya baada ya Urais
hata Samia mtamjua kama ni mwmba baada ya 2030
Nyie mpo na TEC tu kila kukicha. Hivi hamuwezi kuishi bila TEC? Au bila TEC hakuna pumzi.Hio Hafla ilikuwa ni ya NINI ? naomba tu unijibu na hilo Jibu lako je linahitaji maneno zaidi ya matatu ? Yaani inahitaji mtu kuandika Thesis na Attachments (Appendices na References) ?
A Lie of Omission is Still a Lie.....
Una nipotezea muda na hiyo reasoning yako ya daeasa la 4C. 👋 👋 👋 👋 👋 👋Ukitoa mchango wa harusi au kualikwa tu harusini kadi ya mwaliko itaandikwa ni taarifa ya msiba au komunio au ubatizo?
Hujielewi muhutu wewe.Una nipotezea muda na hiyo reasoning yako ya daeasa la 4C. 👋 👋 👋 👋 👋 👋
🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮Hujielewi muhutu wewe.
Usalama wa nchi na utapeli wapi na wapi!Haiko sawa na haiko salama ktk usalama wa nchi.
Nyinyi ni wabaguzi wa kidini...Usalama wa nchi na utapeli wapina wapi!
Chini ya samia hakuna katiba mpya hata angefanikiwa kukaa ikulu kwa miaka 20 labda kasha jipya la katiba linaweza kuwepoKadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.
Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Kanisa Katoliki huwa halina visasi, limejikita katika kusamehe.Kadi yenyewe iko wapi? Tunaomba link kwa sababu wengine hatujaiona. Kama ikulu ilifanya utapeli basi maaskofu wanatakiwa kutoa tamko kali sana sana na kususia shughuli zote za ikulu.
Kulikuwa na ugumu gani kuandika kwenye kadi ya mwaliko kuwa wanaalikwa kwenye hafla maalum ya utiaji saini mikataba ya kukodisha bandari?Nyinyi ni wabaguzi wa kidini...
Acheni ubaguzi wa kidini...
Magu aliuwa watu hamkusema...
Sipo na mtu wala kitu (am them man of my own mind and principles) nadhani shida kubwa ni watu kama nyie mnaodhani kuna wale, sisi na wao..., wakati taifa ni moja na wapuuzi wanatumia mianya ya watu kama nyie kufanya yao....Nyie mpo na TEC tu kila kukicha. Hivi hamuwezi kuishi bila TEC? Au bila TEC hakuna pumzi.
Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.
Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Sijasema liweke visasi. Nimesema likemee dhambi ya utapeli iliyofanywa na Samia.Kanisa Katoliki huwa halina visasi, limejikita katika kusamehe.