Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?

 
Mimi na Mke wangu,Watoto na baki 3 tunarejesha kadi za CCM leo jioni.Tumechoka bandari inauzwa,misitu inauzwa,Airport zinauzwa sasa tumebakiza nini ?.
Nywele zako na za mkeo msikubali zikauzwa.
 
Ilikuwa hali kama hii hii wakati wa Jakaya lakini matokeo yake Slaa na Lipumba wakawasaliti wananchi kwa kurubuniwa na ccm kwa vipande vya sarafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm hatutegemei kura zenu.Rudisheni tu muone kama mtashinda
 
Hayo ni mawazo yako na ujinga wako. Kule Mtwara mama kutimua watu kwa kadi tu kama hizo.

Tunamwamini mwenye mbwa na siyo wewe
Iv Nini maana ya my country first au ni kibwagizo tu [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom