Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka

Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka

Kwa wanachama wapi?!!
Teteh, Mbowe anafikiri kuna watu wa kutaperi kama wakati ule
Tuambie kwanza hela yetu ya harambee ilikuwa kiasi gani na ilienda wapi!

Unaitakia nini haikuhusu.Nenda kalete pesa za Wahanga
 
Hivi vyama ni sehemu ya upigaji tu, ipitishwe sheria mapato na matumizi yote ya vyama vya siasa yanayotokana na Ruzuku yawekwe wazi kwa umma, la sivyo kodi zetu zinatafunwa tu na wenye meno.
waambie kwanza serikali warudishe rambirambi na kama hawataki watupe mapato ok.


swissme
 
Kwa wanachama wapi?!!
Teteh, Mbowe anafikiri kuna watu wa kutaperi kama wakati ule
Tuambie kwanza hela yetu ya harambee ilikuwa kiasi gani na ilienda wapi!
taperi ni yule alieyeanzisha tetemeko na kukusanya pesa za rambirambi wahanga .

swissme
 
Kama chama ni vizuri kujiimarisha. Ni mwanzo mzuri.
Lakini lazima Mbowe akubali bado ccm inatakiwa kuondoshwa na nguvu ya pamoja ya Ukawa.
Ukawa ukiwa na nguvu zaidi njia ni rahisi kabisa.
Jambo moja ambalo ukawa hawaja lifanya ni tathmini ya uchaguzi kwa kila jimbo.
Tathmini ya kitaalam ni muhimu sana kuweza kupata recomendations ya nini cha kufanya kujisahihisha.
 
Wazo zuri,
Lazima sasa CHADEMA ije na mkakati wa vitega uchumi mbali na membership fee na ruzuku..

Muhimu kama chama kikuu cha upinzani kuwa na ofisi zake makao makuu na ofisi za kanda.
 
Tatizo ni kwenye tenda yakutengeneza hizo kadi omba uone kama utapewa kuna watu tayari hiyo ni dili lao .
Wala Tender hutoisikia kutangazwa.. Wacha nimtafute swaiba wangu Clinton Mbowe tupige pesa hapo
 
1.Serikali Ya Magufuli Imeipa CHADEMA Mabilioni Ya Pesa Kama Ruzuku Ambazo Ni Kodi Zetu. 2.CDU Wanatoa Msaada Kwa Chadema Toka 2010 3.Sadaka Za Ukombozi Zimekusanywa Tangu 2010 Wanachama Tunachangia 4.Conservative Party Wa Denmark Wanatoa Msaada Kwa Chadema Tangu Kitambo 5.Sabodo Katoa Ufadhiliii Kachoka, Kaamua Kukaa Pembeni. MPAKA SASA KUTOKA KWA YOOTE HAYO MISAADA IMEBAKI KUTUNISHA MFUKO WA MBOWE AKISHIRIKIANA NA MALYA NA LISSU KWA VIJIKESI VYA KUJITAKIA. MAKAMANDA MIMI NIME SURRENDER NAWAACHIA NA NINYI MUENDELEE KUCHANGIA.FAMILIA YANGU INANITEGEMEA SANA NA UMRI UNAENDA, TUPATA HATA UGALI INGAWA HAUWEZI KUWA KAMA WA KINA CLINTON MBOWE!!
 
taperi ni yule alieyeanzisha tetemeko na kukusanya pesa za rambirambi wahanga .

swissme
Wakati mwingine ninyi watanzania unganeni kujikwamua na hawa wezi wanasiasa ni wapigaji tu hasa wakitoa wazo la ulaji bila kuulizwa mnaonekana vilaza ninyi wote wa CCM ama CDM. Hata wewe swissme naona labda una undugu na wanasiasa ama sivyo huwezi shangilia utapeli kama huu
 
Inzi wa kijani nao,uliza hela za maafa Kagera mmepeleka wapi? Leteni huku Kadi hizo haraka tupate kuyalingishia mazombi haya ya kijani yanaisoma namba.
Wakati wabunge wa UK wamenyea debe kwa kudai matumizi hewa ya fedha za serikali wabongo mnasifia maandalizi ya upigaji wa hela zenu. Mbowe kula na vipofu mpaka kieleweke ndiyo maana hakutakua na uchaguzi wa mwenyekiti
 
Back
Top Bottom