Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination...
Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi nayo inaondoka, hali hiyo imekuwa kesho hasa kwa sisi ambao wengi tunatembea nayo mfukoni muda mwingi, nasema hivyo kwa kuwa namba zikibanduka tunashindwa kulipia kwa kutumia simu.