Kadima Kabangu: Naamini Simba SC watanisaini msimu huu ukimalizika

Kadima Kabangu: Naamini Simba SC watanisaini msimu huu ukimalizika

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Mshambuliaji wa DC Motema Pembe, Kadima Kabangu amesema anaamini mabingwa watarajiwa wa Tanzania Simba SC watamsaini.

Amesema ameshafanya mazungumzo na kocha wa Simba, Didier Gomes na amemhakikishia yupo kwenye mipango yake kwa ajili ya msimu ujao, Kabangu ana umri wa miaka 27.

Mshambuliaji huyo amewahi kuzichezea timu za Saint Eloi Lupopo, Motema Pembe, Budapest Honved, Shirak ya Armenia, na Maghreb de Fes ya Morroco.

Kati ya vitu vinavyomtambulisha Kabangu awapo uwanjani ni mbio zake, nguvu, na jicho lake la kulenga lango la utopolo na wengine wote atakaokutana nao.

Chanzo: Mwanaspoti & Goal.com
 
Anayejua anabembeleza usajili kila siku kwenye magazeti na mitandaoni, kweli? Simba SC shitukeni!
Hana maajabu huyo jamaa, ndiyo maana analilia usajili. Simba ni bora wamsajili Moses Phiri kuliko huyu.
 
Back
Top Bottom