Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Kanisa Moja Takatifu la Mitume [emoji3]
Kwenu FaizaFoxy na The Boss plus The Big Show
Mkuu una uhakika kanisa katoliki lina Askofu mkuu wa nchi?!Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania
Hakunaga zamu ni Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Bakwata tu πNamuona Mzee LUKUVI hapo,,, Au macho yangu π€π€π€
Si Ni lazima afanye hivyo.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
SurelyKanisa ni moja tu, indeed
TEC kwisha kazi , choka mbaya garagaza kabisaa [emoji1787]Kanisa Moja Takatifu la Mitume [emoji3]
Kwenu FaizaFoxy na The Boss plus The Big Show
Ni kweli- ni mshauri wa rais wa mambo ya siasa na jamiiNamuona Mzee LUKUVI hapo,,, Au macho yangu π€π€π€
Ajaye Dr Isdori ππππ₯TEC kwisha kazi , choka mbaya garagaza kabisaa [emoji1787]
πππ, Kwa hiyo wale wanao Sema "Tunashauri sa100 awe mama wa Taifa", Yawezekana kwenye List ya ujezi hawapo π₯΄π₯΄.Hakunaga zamu ni Kanisa Moja Takatifu la Mitume na Bakwata tu π
OK ni vizuri zaid, βοΈβοΈβοΈβοΈNi kweli- ni mshauri wa rais wa mambo ya siasa na jamii
Wewe mjinga sana. Kanisa katoliki hakunaga askofu mkuu wa nchi. Kila jimbo lina mkuu wake, na huyo ni hapo Tabora tu sio mkuu wa Tanzania. Muwe mnauliza basi hierarchy ya kanisa!!!Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Kama hujui kitu usipotoshe. Rugambwa siyo Askofu Mkuu wa Katoliki Tanzania na Cheo hicho hakipo.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Usojisahaulishe ni zamu ya KKKT tunaenda na MadeluAjaye Dr Isdori ππππ₯
Kanisa takatifu ni Watakatifu popote walipo duniani. Na wala sio dini au madhehebu fulani ya dini. Kila mtakatifu popote alipo ni sehemu ya Kanisa la Yesu Kristo ambalo lipo dunia nzima.Kanisa Moja Takatifu la Mitume π
Kwenu FaizaFoxy na The Boss plus The Big Show