Asante kwa ufafanuzi.Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Tabora kwa sasa ni Askofu PAUL RUZOKA .
Kardinali PROTASE RUGAMBWA ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ufafanuzi.Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Tabora kwa sasa ni Askofu PAUL RUZOKA .
Kardinali PROTASE RUGAMBWA ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
Duh! Mvinyo ulipona kweli? Ila huwa naona kama wa jimbo ni wakali zaidi kuliko wa shirika au unasemaje?Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..
Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.
Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Wa shirika ni mwepesi sana hawana sheria kama Jimbo. Mfano wafranciscan ni rahisi sana sema tatizo kutembea peku!Duh! Mvinyo ulipona kweli? Ila huwa naona kama wa jimbo ni wakali zaidi kuliko wa shirika au unasemaje?
Wengine hawatembei pekupeku. Nilisoma Maua na walikuwa hawana sheria sana na hivyo tulisoma. Actually, wakati huo Fr Gandolf alipokuwa Rector kila mwanafunzi alisoma kwa uhuru ili atakapomaliza masomo ndipo achague kuendelea na maisha ya wito au achague kwenda maisha tofauti. Kwa hiyo, kuanzia Form I-IV, kila mmoja alikuwa free. Kuanzia Form V na kuendelea ndipo kila mmoja ilibidi achague awe wa jimbo au wa shirika na hasa kuanzia Form V kila mwanafunzi alihitaji awe sponsored kusoma.Wa shirika ni mwepesi sana hawana sheria kama Jimbo. Mfano wafranciscan ni rahisi sana sema tatizo kutembea peku!
Kama Faza pekupeku wa Morogoro pale Alfa James Secondary!
Safi sana, hongera sana braza; we ulichagua upande gani?Wengine hawatembei pekupeku. Nilisoma Maua na walikuwa hawana sheria sana na hivyo tulisoma. Actually, wakati huo Fr Gandolf alipokuwa Rector kila mwanafunzi alisoma kwa uhuru ili atakapomaliza masomo ndipo achague kuendelea na maisha ya wito au achague kwenda maisha tofauti. Kwa hiyo, kuanzia Form I-IV, kila mmoja alikuwa free. Kuanzia Form V na kuendelea ndipo kila mmoja ilibidi achague awe wa jimbo au wa shirika na hasa kuanzia Form V kila mwanafunzi alihitaji awe sponsored kusoma.
Hujui kitu, p53 yupo sahihiSi kweli. Hana hiyo nguvu. Someni basi Church hierarchy. Navoandika ninaifahamu vizuri ndio maana nawashangaa mpaka wakatoliki hawajui.
We nawe huna akili.Hujui kitu, p53 yupo sahihi