Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..

Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.

Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Duh! Mvinyo ulipona kweli? Ila huwa naona kama wa jimbo ni wakali zaidi kuliko wa shirika au unasemaje?
 
Wa shirika ni mwepesi sana hawana sheria kama Jimbo. Mfano wafranciscan ni rahisi sana sema tatizo kutembea peku!

Kama Faza pekupeku wa Morogoro pale Alfa James Secondary!
 
Wengine hawatembei pekupeku. Nilisoma Maua na walikuwa hawana sheria sana na hivyo tulisoma. Actually, wakati huo Fr Gandolf alipokuwa Rector kila mwanafunzi alisoma kwa uhuru ili atakapomaliza masomo ndipo achague kuendelea na maisha ya wito au achague kwenda maisha tofauti. Kwa hiyo, kuanzia Form I-IV, kila mmoja alikuwa free. Kuanzia Form V na kuendelea ndipo kila mmoja ilibidi achague awe wa jimbo au wa shirika na hasa kuanzia Form V kila mwanafunzi alihitaji awe sponsored kusoma.
 
Safi sana, hongera sana braza; we ulichagua upande gani?
 
Back
Top Bottom