Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

Umeeleza vyema
.
Tabora penyewe madaraka anayo robo tuu, anapokea maelekezo kutoka kwa Askofu Mkuu Paul R. Ruzoka.
 


Tanzania haina Mama wa taifa ina baba wa Taifa mwanzilishi wa taifa. Lakini tuna Raisi Mama Samia. Hatuna na hajawahi kuwa na Mama wa taifa tuache uchawa.

Mara Dr, mara Suluhu, Mara Mama Samia, ….. sasa ni kila mwezi kuna jina mpya … kesho Mama Abdul πŸ˜‚
 
Rekebisha Kanisa Katoliki halina kiongozi anayeitwa Askofu Mkuu wa Tanzania yeye hadi sasa ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
 
Siyo Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, bali ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa.
 
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..

Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.

Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…