Mimi hapo nishafeli maana wakati na umri mdogo nilikuwa hohehahe nasaga rhumba jua na mvua Kwa mpigo nikishudia watoto wakishua na madogo walioajiriwa au kijapata wakiumiza mioyo na kuwapanga foleni mabinti ninaowapenda na wananikataa kwasasa kila mademu ninaowaona naona wanajaribu kuja kutafuta nafuu ya maisha kwangu.