Kadiri unavyosonga mbele ki umri, unapaswa kuwa katika stable relationship, ukizubaaa utalamba joka maana soko gumu sana kwa wenye umri mkubwa

Kadiri unavyosonga mbele ki umri, unapaswa kuwa katika stable relationship, ukizubaaa utalamba joka maana soko gumu sana kwa wenye umri mkubwa

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
1740661583617.png
 
Mimi hapo nishafeli maana wakati na umri mdogo nilikuwa hohehahe nasaga rhumba jua na mvua Kwa mpigo nikishudia watoto wakishua na madogo walioajiriwa au kijapata wakiumiza mioyo na kuwapanga foleni mabinti ninaowapenda na wananikataa kwasasa kila mademu ninaowaona naona wanajaribu kuja kutafuta nafuu ya maisha kwangu.
 
Money 🤑 💰 💰 💰 is answer

A men ages like wines.
Futa mwanaume kwenye huo ushauri
 
Ni kudra za Allah kupata na kukosa sis yetu ni mtazamo tuuh
 
Back
Top Bottom