GE2025 Kadogosa aahidi Kuboresha Miundombinu ya Barabara Bariadi kukuza uchumi wa wananchi

GE2025 Kadogosa aahidi Kuboresha Miundombinu ya Barabara Bariadi kukuza uchumi wa wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wenzetu bado wanafurahia kupewa baiskeli jamani, ila wakumbuke hiyo mitano tena watasaga meno bila maendeleo maana hela ndo hizo wamenunuliwa baiskeli :Alien::Alien::Alien:

-------------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masanja Kadogosa amesema endapo akichaguliwa kuongoza jimbo hilo atahakikisha anaifungua Kata ya Nkololo kiuchumi kwa kuboresha miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami lengo ni kuwapunguzia adha wananchi waishio pembezoni kupata mahitaji muhimu bila kufika Mjini Bariadi

Ameyasema hayo katika kampeni zake za jimbo zinazoendelea zilizofanyikia Kata ya Nkololo ambapo ameomba wananchi wakipe ridhaa chama hicho kwa kuchagua mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ubunge na udiwani ili waweze kuendelea kuleta maendeleo mbalimbali


dogosa​
 
Back
Top Bottom