Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣

My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!

Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa

IMG_0397.jpeg
 
umeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
 
Nawaza tu hapa, Watoto aliozaa, Kama watarithi akili yake, sijui itakuwaje siku za huko mbeleni. šŸ¤’šŸ¤’
 
umeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
Wahi kizimkazi ukapokee posho yako
 
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣

My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!View attachment 2944527
Hiyo ni obvious.
Au alitaka marehemu ajenge reli?
 
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣

My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!View attachment 2944527
Msukuma huyu ni gwiji wa unafiki na uzandiki
 
umeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
Angefanya wakati alikuwa ameishiwa pesa akabaki kupora watu kwenye account zao
 
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣

My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!View attachment 2944527
Kwanza nianze kwa Kumshukuru Mama samia!
Kipindi cha 2021 tuliambiwa na kadogoso kuwa reli imefikia 50 asilimia
 
Back
Top Bottom