Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kwa mama hata Wajerumani wakasome 🙌🙌🙌Tusubiri wajerumani walete muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mama hata Wajerumani wakasome 🙌🙌🙌Tusubiri wajerumani walete muongozo
Huyu mwamba kaungana na Joka Makengeza na anagombea ubunge wa Bariadi Mashariki 2025. Sifia sifia hii nadhani ni kujihakikishia kuwa jina linarudi kutoka huko yanakopoteleaga!Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣
My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!View attachment 2944527
Amekwambia 30% akiwa hai na kama Samia ataacha kazi leo ni 70%. Jambo la kuhoji hapo ni kweli JPM 30%? ni kweli Samia ni 70%?. Hiyo hoja ya JPM kufariki utaulizwa kwa 30% kaongoza muda gani na Samia kwa 70% kaongoza muda gani?umeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
Siyo sgr tu bwawa ,sgr ,ikulu ,hopsptaliKwenye ujenzi wa Ikulu ya Dodoma na SGR,JPM ndo mwamba huu ni ukweli ambao chawa wa mama hawataki kusikia.