Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Swallow yout egoMkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Maana yake Magufuli yupo haikafanya asilimia 30 kashindwa na mama yupo asilimia 70Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Wahi kizimkazi ukapokee posho yakoumeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
😂😂Ah KMMK zao
Hiyo ni obvious.Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣
My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!View attachment 2944527
Msukuma huyu ni gwiji wa unafiki na uzandikiMkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣
My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpeni maua yake Magufuli hata kama hatukumpenda!View attachment 2944527
Mwendo wa MBITIYAZAAtueleze pia ni nani aliye nunua vichwa vya slow motion badala ya vile vya mwendokasi.
Kadogosa ni mhuni flani tu
Angefanya wakati alikuwa ameishiwa pesa akabaki kupora watu kwenye account zaoumeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
Kwanza nianze kwa Kumshukuru Mama samia!Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.