Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

Hii ni awamu ya tano....inaendelea. tusubiri awamu ya sita 2025. Mashindano ya kijinga haya. Magufuli alikuwa CCM, Samia alikuwa msaidizi namba moja wa Magufuli, Samia ni CCM. Sijui tuite kitu gani hili sasa...kha!!
 
Kwani uongo ni upi? Ni kweli SGR imejengwa zaidi kuanzia 2021 kuliko kabla ya hapo sasa kadanganya nini?

Kipindi JPM anafariki mlisema hakuna kama yeye cha ajabu wengine wakifanya miradi mliosema hawawezi mnataka sifa kwa JPM!!
 
Dah Mungu anamuona,Baba yangu alikopa Trilion 7.1 kutoka sntandard charted HK kwaajili ya SGR.Mradi mzima unagharimu Tririoni 12.

Achilia zile trilion mbili akizomba SA
Zama za bibi kidude unafki ni mwingi sanaa.
 
kadogosa hana akili kama aliyemtua.
 
Hata kama ndiyo mnampamba aliyepo lakini hii ni too much

Nani asiyejua kuwa JPM ndiyo alijenga huo Mradi Kwa asilimia kubwa kabla hajafariki?

Nadhani Serikali iliyopo bado inaweza kuendelea kuongoza pasipo kuikandia Serikali iliyopita

Yaani utasema Serikali ya awamu ya 5 likuwa ni ya Chadema sasa hii ya awamu ya 6 ni ya CUF 🙌

Kweli kufa kufaana 😭
 
L
legacy ya asilimia 30 anayo.
 
Mngemwacha JPM hadi leo mnafikiri hiyo sgr ingekuwa%ngapi? Au mnataka marehemu aendelee kujenga?
 
Siyo masuala ya uwongo huo ndyo ukweli ambao misukule ya Magufuli hawataki kuukubali.

Kuanzisha kitu ni jambo moja na kumaliza ni jambo jingine. Kama SGR na Bwawa la umeme aliyaanzisha Magufuli mwaka 2017 na hadi anakufa mwaka 2021 yalikuwa 30% utaachaje kumsifia Samia?

Au nyie Wafiadini wa Magufuli mlitaka Samia aache ile miradi iliyoanzishwa na mwendazake na kuanzisha ya kwake kama jinsi yeye alivyoacha Bomba la gesi ya Mtwara na Bagamoyo Port zilizoanzishwa na Kikwete?
 
Kikubwa iishe na itimize malengo yaliyokusudiwa siyo Yale ya kuwanufaisha wabinafsi. Yaani sawa tu Hata ikiwa 99% vs 1%
 
Ngonjera za kubuni zinaendelea..... 🤣
 
fools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…