Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa amewapokea wanachama kutoka vyama mbalimbali vya upinzani ambao wamejiunga na CCM wakati akinadi sera zake katika Kata ya Sapiwi
Wanachama hao wanatoka Chadema, ACT- Wazalendo, UDP pamoja na CHAUMMA ambapo walisema wamejiumga CCM ili kumuunga mkono Kadogosa
Akinadi sera zake, Kadogosa ameahidi kuboresha sekta ya elimu kwa kujenga maabara za sekondari zaidi ya 30 ndani ya jimbo hilo ili wanafunzi wa wa masomo ya Sayansi waweze kujifunza vyema masomo yao