Mkuu Serikali za Majimbo ni nzuri kwanza Governor ndiyo atakua anachaguliwana Wananchi Usika na akichaguliwa ataunda Baraza lake, na Jimbo litakusanya Mapato yake na kupanga mipango yake ya Maendeleo Kupitia makusanyo yake kupitia kodi, kuliko sasa hivi utakuta mkoa unaingiza pesa nyingi lakini hizo pesa zinaenda kujenga mikoa mingine na kuibiwa na Viongozi, hizi Serikali za Majimbo zinafanya Raisi kushindwa kuiba mfano sada hivi Raisi anaweza kugawa pesa za walipa kodi kwakuwapa Viongozi wa Dini au Timu za mpira wa miguu wakati huo Wananchi wanashindwa kumudu huduma za matibabu Figo.Umuhimu wa serikali za majimbo.....jibu kama hili lisingekuwepo kwa kuwa hao wanaouliza na kujibiana wasingekuwepo pia